CCM waroho wa madaraka

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
311
96
Baada ya uchaguzi wa hivi karibuni nimesikitika sana kusikia mtu mmoja anavyeo zaidi ya vitatu ndio kusema wengine hawaweziii??mtu Mbunge/Diwani huyo huyo mwenyekiti,mjumbe wa NEC,kamat ya fedha jumuiya ya wazazi huu ni ujinga
 
Kichwa cha thread pekee kimeniondolea hamu ya kuendelea kuisoma (WALOHO?!!!).
 
Back
Top Bottom