Wapi Nchimbi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Nchimbi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gulwa, Oct 17, 2012.

 1. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,972
  Trophy Points: 280
  wanajanvi, nchi iko rehani kiuisalama. matukio ya hivi karuibuni yasikitisha, nilitegemea dr angetoa tamko lakini kimya au kwakuwa hana uhakika na msimamo wa ndani wa boss wake katika hili?
   
 2. G

  Getwa Anicet Ally Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka! Tusubiri tuone, labda atatoa tamko.
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ataunda kamati kuchunguza...
  1.kuuwawa kwa kamanda Barlow
  2.kutekwa na kupigwa kwa Dr Ulimboka
  3.kuchunguza kiwanja kilichotekwa na kundi la sheikh ponda
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Wasipoangalia hawa 'POLISI JAMII' watawaua mmoja baada ya mwingine.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,903
  Trophy Points: 280
  Atakuwa busy anaifariji familia ya yule kamanda wa polisi aliyeuwawa kwa shutuma za UZINZI.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Amekaribia kukua, alimwachia Mwema akurupuke na majibu
   
 7. e

  enzihuru Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana jipya kwani anajua ni mipango yao kutupummbaza wananchi tuusiwaze vile CCM wanavyopora nchi yetu.
   
 8. CHABURUMA

  CHABURUMA Senior Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nchimbi umepwaya! Au unamsubiri mkuu wa kaya?
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Anasimamia chaguzi za CCM
   
 10. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Baaaaadae saaaaaaaaaaaaaaaaana utamsikia tu........... still tune!
   
 11. 2

  21DEC2012 Senior Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi sielewi hawa watu wanamatatizo gani.au ni inferiority complex inawasumbua?
   
Loading...