Watoto waliocheza Halaiki ktk sherehe za Mwenge waandamana kudai malipo

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Katika hali isiyotarajiwa wanafunzi wa shule ya msingi mjini Shinyanga na vitongoji vyake wameandama huku wakiimba nyimbo za kuhamasishana kudai ahadi ya malipo yao baada ya halaiki. Watoto hao wamelalamika kunyweshwa uji wa chumvi na bokoboko ktk mda wote wa kambi,wamelbni na kusema hawatakubali ufisadi wa namna hiyo na wapo tayari kwa lolote
 
Hawajifunzi kwa wenzao wa Kigoma, mambo yatakuwa mazuri maana kwenye nchi yetu hakuna kinachopatikana kwa urahisi labda vyeo kwa watoto wa wakubwa
 
Back
Top Bottom