Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Amewataka waliokuwa wafuasi wake waliofanya kazi naye kwa matukio ya kutisha BAKWATA, kuvamia kiwanja yaliyotokea mbagala amesema ni matokeo ya kazi ya taasisi yake. Pia amekamatwa kwa uchochezi Kova amesema uvumilivu kwisha, "Kama tumemkamata ponda kwa mbinu za kijeshi tutashindwa wakina ponda wadogo wajisalimishe msako unaendelea"
Toa maoni ponda kaonewa, Wametatua tatizo au wamezalisha mengine, Nini athari za kukamatwa kwake busara itumike kuziepusha
 
Hizo ni nguvu za soda. Kesho utasikia Shekhe Ponda ametoroka mahabusu na hajulikani alikotorokea.
 
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam,Amewataka wafuasi wa Ponda wajisalimishe wenyewe kabla hawaja wakamatwa,

Suleiman Kova amesema kama Mkubwa wenu kakamatwa kwa mbinu wasizo zijua...sembuse nyie bhana...mbinu zilizotumika ni za kimataifa...
Kazi imeanza....Tusubiri ijumaa nini kitatokea...
Hata Taasisi yake ni Batili..
Source:Star Tv
 
Hayo maneno tuu ya kova huyu jamaa anyeitwa shee ponda nahisi anaubia na hii serikali anafanya kila kitu bila kufuata taratibu na hakuna wakumfanya kitu, mwaka 1993 kama sijakosea pale mwembe chai mwinyi alimfunza adabu akatoweka sasa wakati wa serikali dhaifu sana isiyo na maamuzi anaifanya kama atakavyo
 
Kova kamata hiyo mijitu yote. Kama msipofanya hivyo leo kesho baada ya kunogewa kuchoma makanisa wataichoma ikulu. Kisha watatangaza nchi inaongozwa kwa sharia kutokea msikiti wa Mtambaani.
.
 
Hata hivyo wamechelewa, eti uvumilivu umewashinda? Alitakiwa awe ameshakamatwa zamani na kushtakiwa, it is too late now, kesha mwaga mboga sasas.
 
Sioni nguvu ya soda hapo, ni kazi imeanya-full stop.
JK amegundua kuwa nchi inaozea mikononi mwake, na kwamba historia itamhukumu.
 
Chezeya waislaam wewe subiri Ijumaa wakajazane ujinga wao baada ya swala ya mchana ndo utajua kama serikali inawaheshimu waislam ama inawaogopa.Nimemkumbuka sana rais wangu mpendwa Ndugu Benjamini William Mkapa, hata kama aliharibu mwishoni he will remain to be my icon forever.Enzi zake ushenzi huu wa waislam kujazana upuuzi usingeusikia engewanyosha mpaka wangenyoka
 
Watu wanavunja sheria eti mnawavumilia,huu ni ubabaishaji!! kova acha kufanya kazi kwa mazoea.
 
Kova ni dhehebu gani?
Naona wanamwagia petrol kwenye moto

Hapana ndugu sio kumwaga petrol kwenye moto hivi ndio inatakiwa, wakina Kova ndio tunawategemea katika ulinzi wa maisha na mali zetu sasa kama watakuwa wanawagwaya watu kama kina Ponda, tumtegemee nani, mi nadhani watu tungeacha mambo ya dini tukaangalia uhalisia wa jambo lenyewe, linatupeleka wapi na linaipeleka wapi Nchi hii.
 
Hapana ndugu sio kumwaga petrol kwenye moto hivi ndio inatakiwa, wakina Kova ndio tunawategemea katika ulinzi wa maisha na mali zetu sasa kama watakuwa wanawagwaya watu kama kina Ponda, tumtegemee nani, mi nadhani watu tungeacha mambo ya dini tukaangalia uhalisia wa jambo lenyewe, linatupeleka wapi na linaipeleka wapi Nchi hii.

Issue sio hivyo. Hawa hawatakiwi kukamatwa.. Watu kama hawa unawapoteza
 
Haya ni matunda ya mbegu za udini...mkuu wa kaya asipoangalia yanawezamshinda kabisa...this is getting serious the driver should take control of the car now
:embarassed2:
 
Sijui kwanini sijashawishika ni hii movie ya kumkamata Ponda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom