leo alikuwa mponda sijui kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

leo alikuwa mponda sijui kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MUREFU, Oct 17, 2012.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  naona sasa dar imekuwa sehemu ya migomo kila kukicha leo tulizuiwa njia kisa wafuasi wa shekhee mponda kesho sijui tutasimamishwa wapi kwenye foleni au kunajengo litachomwa maana sasa hivi dar haitabiliki kila siku visa vipya.usiku mwema waungwana tusisahau kuiombea nchi yetu maana inapokwenda sipo
   
Loading...