PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564

SAM_2244.JPG

Mawe yametoboa vioo vingi
SAM_2245.JPG
Katika madhabahu,pameharibiwa
SAM_2246.JPG


SAM_2247.JPG
Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa
SAM_2248.JPG
Mimbari imechomwa na kuharibiwa
SAM_2249.JPG


SAM_2250.JPG


SAM_2251.JPG


SAM_2252.JPG
Ofisi ya Kanisa imechomwa moto
SAM_2254.JPG
Wachungaji wa kanisa hili wakisubiria taarifa kutoka polisi
SAM_2256.JPG
Hawa wanafanya maombi na nimesikia wakiwaombea waislamu mungu awasamehe
SAM_2257.JPG
Vifaa vya uimbaji vimechomwa moto
SAM_2258.JPG
Washarika wakiwa kanisani kwao asubuhi hii
SAM_2261.JPG
Gari la mchungaji pia limeharibiwa kabisa
SAM_2262.JPG


SAM_2264.JPG
Ofisi ya mchungaji na mwinjilisti zimeharibiwa kabisa
SAM_2269.JPG

Kushoto ni msikiti walipotokea waislamu kabla ya kuvamia kanisa kulia.nyumba hizi za ibada ziko jirani zikitenganishwa na barabara tu


Source: MJENGWA
 
Ufike wakati wakristo tuseme basi! I am sure tutapigana vita vya akili wakati wao watapigana vita vya mabavu maana wengi hawajaenda shule ni wavuta bangi tu mitaani humo ndiyo maana wanapata muda mchafu wa kufanya haya. For sure tutashinda. We better revenge.
 
Hizi picha ndo nilikuwa nataka kuziona I lvoe JF

ITV wamekuwa wanafiki taarifa ya mbagala walionesha sa mbili jana nikasubilia taarifa ya sa 5 hawakuonesha kitu
leo nikaamika asubuhi kuangalia ITV hakuna kitu kilichotangazwa yaani unaweza fikiri hakuna kilichotokea

Nahisi usalama did something kwa ITV na vyombo vingine
 
huu ni ufinyu wa elimu, kwa kitendo hiki imedhihilika kwamba wao waislamu hawana elimu dunia ni ujpuuzi tu
 
Mungu gani anapiganiwa kiasi hicho?? sisi wakiristo tunaamini mungu wetu ana nguvu na yeye ndio anatoa hukumu.wenzetu wanatumia kichwa kufugia nywele?? hizi ni akili au matope? washindwe kwa jina la YESU na walegee kabisa.
 
Heyi! Am sure hiyo dini ya kimuslimu ni dini ya shetani. Vita yao ni ya mwilini.
 
Wakristo tunaamini kuwa vita vyetu si damu na nyama bali ni dhidi ni ya falme, mamlaka ya pepo wabaya katika ulimwengu wa Roho tu !!

tunasahau kuwa Mungu katupatia pia nguvu na akili ya kutambua mema na mabaya
 
waliongozwa na fikra za yule muovu anayechochea machafuko ya kidini huku akiendesha nchi
 
Hizo divai na ekaristi takatifu walikunywa na kula? kwa akili zao wamewakomoa wakiristo au mwenyezi MUNGU??

kwa mtindo huu,mahakama ya kadhi itakuwa vurugu tupu.Nyerere alijitahidi kutaifisha shule ili hawa jamaa wasome lakini bado hawajaelemika bora angewaacha na madrasa na elimu ahera yao.
 
Hebu kila mmoja atafakari kwa kipekee uharibifu huu alioufanya amepata faida gani.

Ni MUNGU yupi wanayemwabudu anayehitaji mahangaiko kwa watu wengine katika kumwabudu.

Ni MUNGU yupi mnayemwabudu aliyewaambia kulipa kisasi ndo njia sahihi ya kumwabudu?

Ni MUNGU yupi aliyewapa mamlaka ya kuhukumu kwa niaba yake?

Ni MUNGU yupi mnayemwamini na kumwabudu kuwa nyie mu wasafi hata kuhukumu wengine na nyie hamfanyi makosa?

Ni VITABU gani na mafundisho ya nani aliyewaambia kuharibu madhabahu ya wengine wanaomwomba MUNGU huyo huyo mnayemwabudu nyie kwa imani yenu mtabaki salama na imani yenu?

Maswali yanaweza kuwa mengi sana lakini wajitafakari kila mmoja alipo kwa upekee wake na amwombe MUNGU ili apate msamaha. Na huyo aliyehamasisha hayo yakatokea hakika hakika hayuko salama.

TUMWOMBEE WOTE KWA UJUMLA WETU MUNGU APATE KUMSAMEHE.
 
Polisi walishindwa vipi kumvunja mguu hata mhalifu mmoja kama waliweza kumuua Mwangosi ambaye hakuwa mhalifu?

Polisi wanapenda sana ugomvi wa dini utokee kuliko kupenda kuona CDM ikichukua dola! Utadhani hawana dini!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom