kuna ndugu yangu mmoja alipata kazi security group na huu ni mwezi wake wa pili kazini. anadai kwamba wanafanya kazi masaa (8) na overtime ya masaa manne(4) kwa siku. cha kushangaza, wameambiwa...
Taarifa zinaonyesha kuwa Aboubakary Mlawa amejilimbikizia mali isiyolingana na kipato chake kiasi kwamba vyombo vya dola vina anza kufuatilia:
1 .Ana miliki Hotel Mikumi aliyopata kwa kutumia...
Ndugu zangu watanzania tumekuwa tukikabiliwa na ajari nyingi za barabarani na majini. Lakini bado naona atujajifunza kitu, leo asubuhi nilipanda daladala yaani lilikuwa limejaza mno kiasi cha...
wakulima poleni sana,jitihada zenu zinakwamishwa na mfumo wa kifisadi uliopo nchini,na hawana nia nzuri na nyie,haiwezekani mtu anajipinda kulima kwa muda mrefu anakwenda kununua anapewa mbolea...
eti kuna kimbunga kinaitwa anais kimetokea huko bahari ya hindi. Kwa hiyo kimepindisha mvua ambayo walitabiri kuwa itakuja oktoba... Hahahahha
Mwingira upo??
Asilimia kubwa ya chanzo cha Ajali ni uzembe wa dereva na wahusika wa wa Basi lenyewe, tulijaribu kuwapigia simu maajenti wa Arusha wakasema kama ni Gari ya Robert (driver) huo ndio mwendo wake na...
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Bin Simba, amewataka Waislamu kuheshimu na kutii sheria za nchi na kufuata miongozo ya kidini, ili kudumisha amani na utulivu kwa ajili ya maendeleo ya...
Ilikuwa mida ya saa nne usiku na nilikuwa katika mwendo kasi kidogo maana nimetoka mbali, nimesha tembea kilometa 750 na bado kama km 50 kufika Dar.
Mara naona mlolongo wa foleni inayoenda pole...
EID MUBARAK
Wishing you and your family a blessed Eid-ul-Adha.
May this Eid be as bright as ever.
May it bring you lots of Joy, Love, Good health,
Harmony, Prosperity and Success...
Mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kuwa zile mvua zilizotegemewa kunyesha hazitanyesha kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Je, huu ni ushindi kwa mchungaji Lusekelo?
Nakupongeza Ester Wasira kwa kusema ukweli kwa vijana kuwa tusiwe waoga. Leo ingekuwa kura wewe umefunika.Awali ya yote nilikumisslead nikiamini kama unatokea familia ya Wasira basi ungekuwa na...
ina ni ogopesha hali ilivyo kwenye majiji yetu Tanzania hasa ili swala la maji kwani katika karibu kila jiji Tanzania tuna kutana na tatio hili la maji je serikali hawa jibu au njia mbadala na...
Iwapo fao la kujitoa halitarudishwa serikali itakuwa imeweka mpango wa kuwaandaa watu wake kwa wingi zaidi kuajiriwa zaidi kuliko kuajiri.Wajarisia mali wangi hujipatia mitaji yao ya awali kupitia...
Nasema ni habari njema ambayo inaweza kutafsirika kwa wengine kama habari mbaya. Habari za uhakika ni kwamba kuna baadhi ya makampuni ya mawakala utoaji mizigo bandari ya Mombasa - Kenya wameingia...
Wana janvi Juzi nikiwa safarini kutoka mbuga ya Serengeti nilikutana na Story ya kushangaza kidogo, Kuna Dreva mmoja wa Hifadhi ya Ngorongoro aliangusha Gari la Hifadhi maeneo ya Kilima Tembo-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.