mbolea feki tani 1000 yakamatwa mbozi!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,315
13,282
wakulima poleni sana,jitihada zenu zinakwamishwa na mfumo wa kifisadi uliopo nchini,na hawana nia nzuri na nyie,haiwezekani mtu anajipinda kulima kwa muda mrefu anakwenda kununua anapewa mbolea iliyochanganywa na majivu,matokeo yake haambulii chochote!jamani mwogopeni mungu,kuna mbolea tani elfu moja imekamatwa leo ktk ghala moja huko wilayani mbozi na mkurugenzi wa kitengo cha ukaguzi wa ubora wa mbolea,na wanachofanya eti ni kumnyang'anya leseni!tu kweli hii ni adhabu tosha?wakiwa jukwaani ohoo kilimo kwanza kwa staili hii!nchi hii tumelogwa na nani jamani?waziri malima anasema hayupo oficn hawezi kulizungumzia,kwani hana uhakika nalo! source.tbc taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom