Inakuwaje pale ambapo kigezo cha Dereva Kupandishwa cheo inapokuwa ni yeye kuangusha gari? imetokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje pale ambapo kigezo cha Dereva Kupandishwa cheo inapokuwa ni yeye kuangusha gari? imetokea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHASHA FARMING, Oct 24, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Wana janvi Juzi nikiwa safarini kutoka mbuga ya Serengeti nilikutana na Story ya kushangaza kidogo, Kuna Dreva mmoja wa Hifadhi ya Ngorongoro aliangusha Gari la Hifadhi maeneo ya Kilima Tembo- Karatu na Lori hizi za Kubinua na lilikuwa ni Jipya kabisa halina hata miezi mitano, ILA CHA KUSTAJABISHA MARA TU BAADA YA DREVA KUPIGA CHINI HILO LORI, ALUIZIWA NA KUPANDISHWA CHEO MARA MOJA
   
 2. m

  masagati JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Uchizi,wata tuua ili wapande vyeo.
  Aliye mpandisha cheo ashitakiwe kwa kuchochea ajali
   
 3. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tunaangalia perfomance rafiki yangu sio tatizo kama yeye akitumwa kazi anaifanya ndani ya muda unaotakiwa hata kama wenzake wamekataa na haombi overtime kama wengine,definetely ntamuhitaji huyo mtu zaidi ya wengine.kuangusha gari sio kosa rafiki yangu,insurance italipa hiyo ni ajali na sio makusudi
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Chezea Tanzania weye!!? hivi bado hujaijua bongo ee!!? kisichowezekana mahali pengine popote duniani kinawezekana Tanzania
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kuangusha gari ni ajali, ili mradi hakuwa amelewa au hakuwa negligent haiwezi kuwa sababu ya kutompandisha cheo.
   
 6. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 803
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Bongo Tambarare!!
   
Loading...