Askari wa JKT ndani ya STK 3970 aporomosha matusi ya nguoni kulinda msafara wa kiongozi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari wa JKT ndani ya STK 3970 aporomosha matusi ya nguoni kulinda msafara wa kiongozi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masopakyindi, Oct 23, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa mida ya saa nne usiku na nilikuwa katika mwendo kasi kidogo maana nimetoka mbali, nimesha tembea kilometa 750 na bado kama km 50 kufika Dar.

  Mara naona mlolongo wa foleni inayoenda pole pole, na mimi nina kifaa cha mtambo wa utangazaji kinachotakiwa kufikishwa kwa mtaalam kabla ya saa tano usiku huu.

  Kwa vile mwendo wangu ulikuwa kasi na hakuna on-coming traffic nikakanyaga mafuta na kifaa cha mjapani kika paa kwenda mbele.

  Kufumba na kufumbua naona kumbe nimeyapita magari mawili moja lina maandishi ya sarufi ikiashiria ni kiongozi wa juu, naye akanipa ishara niridi nyuma nami nikatii.

  Huyu wa pili, STK 3970 abiria akafungua dirisha, na akaporomosha matusi ambayo heshima yangu hainiruhusu kuyarudia mtandaoni.
  Yalikuwa matusi ya nguoni, kama alivyosema mzee Ruksa.

  Haya yote tametokea pale sehemu ya Ruvu darajani.

  Pamoja na kunitia simanzi nimejiuliza maswali kadhaa. Nimepita JKT na najua heshima anayopaswa kuwa nayo askari lakini hii imenisikitsha.

  Kweli nilikosea maana kwa nyuma ya msafara, tena usiku, hakuna ishara yoyote kuwa kuna msafara unaoendelea mbele, na mpaka naandika sijui ulikuwa msafara wa nani.

  Kwa tunaoifahamu JKT huyo kijana ndani ya hilo gari STK 3970 hafai kuwa ndani ya Jeshi.
  UPDATE
  Nimefuatilia Sources MMJKT na wamethibitisha hilo si gari lao na halipo kwenye orodha ya magari yao ya kiraia.

  Kunradhi JKT na mniwie radhi kwa hilo, lakini ndani ya gari hilo walikuwemo vijana waliovaa sare inayolingana.
  Gari lilielekea usawa wa TAZARA.
  Narudia tena kunradhi JKT.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,845
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu...hii ndio nchi yako........
   
 3. G

  Gangi Longa Senior Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mi ningependa kama angekuchapa vibao kabisa kwanini upite wenzio? ndo vyanzo vya foleni nyie!
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  nadhani wanakujua kwamba wewe ni mzee wa pumba siku zote
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Soma vizuri na uelewe sredi yenyewe na tukio lilivyokuwa.
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Pumba ndio nini?
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hilo seke seke limekukuta Ruuvu darajani still unasema ulikuwa umebakiza Km 50 kufika Dar?
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Nisahihishe mkuu, lakini ni kati ya daraja la treni na daraja la mto ruvu.
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiye mtetezi wa ccm na viongozi wake humu jamvini Ningefurahi Kama wangekuchapa vibao Matusi yalikuwa hayatoshi
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh kwi kwi kwi.....aisee
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Fuatilia vizuri posti zangu huwa sitetei ujinga.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wewe unatofauti gani na Philip Mulugo? Kutoka Ruvu kuja Dar ni zaidi ya 50 km
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Some of you guys are pathetic.

  You depict kindergattenship.
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  look around you and tell me unaona nini
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Usitake kuhalalisha kutanua. Kwani hao wengine unajua wanaenda wapi. Kutanua ni kuwa selfish tu, kama kifaa ni muhimu si ungekodi helcopter? Mie mtu anaetanua unless amebeba mgonjwa mahututi sina hata habari nae, na kuliko anichomekee nora nimgonge nimlipe!
   
 16. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  yule alikuwa ni sophia wa uwt angekunasa vibao
   
 17. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Afadhari wewe ndugu yetu umeambulia matusi ya nguoni Afande Chacha yeye alipigwa makofi akakiona cha mtema kuni
  Cha msingi tuombe salam tuu maana na sisi tukirudishia mchafuko wake utakuwa hauchukuliki
   
 18. Millionea

  Millionea Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Humundani nilijuwa kuna watu wana capacity kubwa ya kufikiri kumbe wengi wao ni walewale wenye akili za kusukumw.

  Mana nilitegemea watu wa humu wanaendana na jina lenyewe the great thinker kumbe...useless thinker.
   
 19. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijui kama unaelewa hiyo stori yenyewe.

  Kutanua ni kama kuna foleni iliyosimama, na hakuna ruhusa ya kupita e.g. Kwenye intersection.
  Mimi nilikuwa na overtake slow moving vehicles, elewe tofauti hiyo.

  Kama umeshawahi kuendesha masfa marefu utaelewa situation hiyo, hasa kama umekwisha cover 750km na zaidi.
  Kama wewe scope yako ni scenarios za magomeni na foleni za jijini si rahisi kuelewa.
   
 20. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu wasamehe bure hao, hawajijui kuwa hawamo katika kundi la greti thinkaz.
   
Loading...