Channel ten TV, kulikoni?

Masula

Senior Member
Oct 8, 2012
116
29
Kwa muda sasa channel ten Tv siwapati.Ninatumia dish.Tatizo nini? Au wamebadilisha frequency na symbol rate?Wana JF naomba mnijuze.
 
jamani tatizo letu kila siku kila dk tuko ktk forum ya siasa tuuuuuuuuu na mara chache hapa .
Hii kitu ishajadiliwa saaaaaana hebu tembeleeni

Tech,gadgets & science forum
 
Back
Top Bottom