Abouba Subakary Mlawa Afisa Uhusiano wa Subashi Patel anadiwa kuwa na Utajiri Mkubwa!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abouba Subakary Mlawa Afisa Uhusiano wa Subashi Patel anadiwa kuwa na Utajiri Mkubwa!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Oct 23, 2012.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Taarifa zinaonyesha kuwa Aboubakary Mlawa amejilimbikizia mali isiyolingana na kipato chake kiasi kwamba vyombo vya dola vina anza kufuatilia:
  1 .Ana miliki Hotel Mikumi aliyopata kwa kutumia jina la JK
  2.Ana miliki maduka ya hard ware
  3.Ana miliki mabasi ya abilia
  4.Anamiliki hotel Kahama Shinyanga
  5.Ana Akaunt nje ya nchi zinazo hifadhi kiasi kikubwa cha fedha.
  6.Jina lake limetajwa kwenye baadhi ya vituo vya mafuta!!!


  Elimu yake na kazi yake pale M.M. Steel halileti uwiano wa mali zake
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  tuwaachie Financial Intelligent unit wafanye kazi yao.
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Majungu haya yapeleke Takukuru ili ukatoe ushahidi huiko!
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  At least hivyo vitega uchumi vinamnufaisha mtanzania mwenzangu kwa ajira na manunuzi ya mali ghafi/bidhaa..........za Chenge nani ananufaika nazo????
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwani akiwa anamiliki kwa mgongo wa Subash Patel kuna neno? Kwani umeshasikia boss wake akilalamika? Utalalamikiaje mali yako mwenyewe? Mbona naye Rost Tamu ana yule kibaraka wake japo yeye anatumika tu bila kufaidi!!! Ha ha ha !! The Fisadis iko jua njia mingi ya kuficha mali ati!!
   
 6. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Acheni majungu ya kipuuzi! Kama ameamua kupambana na umasikini kwa nia ya kuushinda kwa njia za haki, mwache apambane. Majungu ya aina hii ni ya wacheza pool kutwa nzima ambao mwisho wa siku wanataka waendeshe magari mazuri na kuwa na maisha ya kisasa. Mlawa endelea kuchuma bwana! Huyu si kama kina Ami Mpungwe ambao ni mawakala wa kutorosha utajiri wa Tanzania na kuupeleka kwa marafiki zao makaburu! Songa mbele Mlawa!
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  subash patel viwanda vya mikocheni vyote vyake,hivyo mpambe kuwa na mali hizo sii ajabu.Mengi hafui dafu hata chembe
   
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Subash Patel ni tajiri sana anaweza kukopesha hata serikali, hata hotel ya Sea Cliff ana hiza zaidi ya 60%
   
 9. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  I didn't know kuwa Tajiri Tanzania ni kosa ! Au kwasababu Tanzania ilitokana na muungano wa Unguja na Zimbwabwe ?
   
 10. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuwa tajiri ni njia ya kukuza uchumi mkubwa lakini maswali mawili matatu yanajitokeza na ni ya lazima kama unataka kujenga taifa yaani unafikiri zaidi ya kuwaza utapata wapi staftahi,mlo wa mchana na mlo wa usiku na hayo kwa uchache ni:
  1 .Je umetajirika kwa kuvunja sheria ama kihalali?
  2. Je baada ya kutajirika kihalali kweli wewe kodi stahili,mishahara stahili na huduma za ubora sahihi unazingatia?Usijekuwa unachakachua hata dawa ama chakula ili mradi akaunti yako inanenepa!
  3. Je shughuli zako zinatunza walau mazingira kwa mfano kama una hoteli maji taka yasijekuwa yanaelekezwa kwenye chemchemi inayotumiwa na wananchi kwa mahitaji ya maji,
  4. Katika biashara zako unazingatia Haki za Binadamu,mfano je umeajiri watoto?usalama kazini vipi?bima?
  Maswali hayo machache yanaleta haja ya kuhoji kila utajiri wa ajabu ajabu bila kujaribu kusema eti huyu mwizi A ni mwema kuliko mwizi B kwa vile A kawekeza nchini na B kawekeza New Jersey,hii ni hoja dhaifu sana .Pamoja na ubishi wetu baadaye tutaona uzito wa maneno haya:behind every big wealth there is a crime!
   
 11. p

  pilau JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ....... Mambo mengine bwana......... taabu tupu.... wewe inakuhusu nini? kaiba wapi? kamwibia nani? mwisho utaanza maswwali yasiyokuwa na miguu..... kama ... sijui anakula mara ngapi... sijui ana watoto wangapi sijui analala saa ngapi.... HAYAKUHUSU
   
 12. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  AMAKWELI UTAJIRI TANZANIA NI DHAMBI, Kumbe mwenzetu kuatajiri ni lazima usome sana..... Pole ina onekana wewe ni KILAZA by nature
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Si haba ameongeza ajira milioni moja za kikwete
   
 14. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huna akili wewe,sasa kama wewe ela yako ya mshahara ndani ya siku 10 umeimaliza usifikiri ni kila mtu,dhambi kuwa tajiri kwani? Founder wa nike alianza kwa kuajiliwa hata tajiri wa ponographic ambazo unashinda ukiziangalia alianza kwa kuajiliwa,,a reader is a leader   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wewe za kwako unagidia valuu, wenzako zao wanawekeza halafu unapiga kelele-kalagabaho!!!
   
 16. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Bongo maisha ni ujanja ujanja hata sisi humu jf pombe tunayokunywa kwa siku na nyumba ndogo tunazoudumia haziendani na kipato chetu
   
 17. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,204
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  jamani msimshambulie mleta mada,tuangalie ni nini ameleta kwetu.JF kunatabia ya kuangalia mleta post ni nani then ameandika nini.

  Mfano:
  Kuna watu wanaandika kuna tukio liko sehemu fulani walio karibu mtujuze basi huyo mtu ataandamwa ooh fanya utafiti kwanza mara vile lakini watu wenye ID nyingine akiandika post yenye maudhui hiyohiyo itachangiwa vizuri kabisa.

  The same things happen to mleta mada.

  JF tunavyofanya sio vizuri taache ubaguzi.

  Mleta uzi hoja yake ni huyo jamaa anamiliki kiasi kikubwa cha pesa tofauti na kipato chake. Ingawa kwenye suala la elimu kateleza ajuwe kuwa utajiri na elimu ni vitu viwili tofauti.
   
 18. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Hapana Breaking Newzer! Mleta mada hakuwa kwenye wazo la utajiri ni kosa. Alichosema ni kwamba utajiri alio nao huyo bwana haulingani na kipato chake. Kwa hiyo wazo hapa ni kwamba ama utajiri huo si halali au anatumiwa na mafisadi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,837
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Je Kodi Analipa? Mbona wanakuja wawekezaji Uchara na Hatuwaulizi Mtaji wametoa wapi? Hii Habari Imekaa Kishigongo zaidi!!
   
 20. U

  Ubwaza Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mleta mada huo wako ni wivu na majungu tu,kwahiyo wewe unaona uchungu sana mwenzio kula hela pesa ya mhini ila huoni tabu wa uchungu patel kuwadhulumu watz wanaofanya kazi ngumu na za hatari kwa mshahara sawa na kula ya siku.? Acha wivi kama unaumia muona akuolee dada ako na wewe upate japo duka moja
   
Loading...