Esther Wassira kumrithi marehemu Regia Mtema!

Esther Wassira alinivutia sana jana
Yaani nilimpenda bure, wale ndo watu tunaowahitaji CHADEMA, ktkharakati za kutafuta ukombozi wa nchii kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi CCM.

Hata yule mzee aliyekuwa wa mwishomwisho kuongea mwenye upara, alinifurahisha sana pale aliposema "ccm ijiandae kuwa chama imara cha upinzani 2015".
 
Kwan cecilia pareso mb vit maalum ameenda wap mpaka esther wasira amrith regia mtema?
 
Simaanishi kumrithi kiti cha ubunge, ni yale manjonjo ya upiganiaji haki na harakati alizoziongoza marehemu Regia Mtema, ndani na nje ya chama.
 
Kwan cecilia pareso mb vit maalum ameenda wap mpaka esther wasira amrith regia mtema?

Cecilia ni wa kuteuliwa, pengine anazungumzia katika uchaguzi mkuu 2015 kwa kuchaguliwa na wananchi, badala ya kuteuliwa, kwani Regia aligombea kabisa 2010 ila hakufanikiwa kushinda ndo akapewa wa viti maalum, ndipo alipokuja kurithi huyu Cecilia baada ya kifo cha REGIA.
 
kumrithi kuna maana pana si ktk jimbo la kilombero bt marehem regia alikuwa mwakilishi wetu kama vijana,mwenzetu,dada yetu na she was open sana,pengo lake ni zito mno,itakuwa vema kama esther akiplay part ya regia chamani yaani kwa namna alivyokuwa kimatendo na kiuongozi.popote alipokuwa marehem alishare nasi jukwaani,ofcourse she did all good for us.so we need somebody to remove us frm this deep solitary.esther may be the one!
 
mukama akisema hamna viongozi mnakasirika. huyu dada kajiunga juzi toka ccm hata hamjui anaishi wapi tayari mnafikiria aongoze akina mama chadema.

andaeni viongozi kwa muda na kuwapa maadili.
 
kumrithi kuna maana pana si ktk jimbo la kilombero bt marehem regia alikuwa mwakilishi wetu kama vijana,mwenzetu,dada yetu na she was open sana,pengo lake ni zito mno,itakuwa vema kama esther akiplay part ya regia chamani yaani kwa namna alivyokuwa kimatendo na kiuongozi.popote alipokuwa marehem alishare nasi jukwaani,ofcourse she did all good for us.so we need somebody to remove us frm this deep solitary.esther may be the one!

You're absolutely right!
 
Sheila sheila nimegundua kwani moyo waniuma
penzi lake ni la dhati kwani nimempata kwa bahati
wengi wapo wanakupenda niachie huyu ananipenda
sheilaaaa ooo sheilaaaa
Hivi huyu dada ndio yule muimbaji?
 
Back
Top Bottom