Live ; gari likiwa limebadilishwa plate number

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Aliyosema magufuli ndo haya
 
Attachments

  • GARI.jpg
    GARI.jpg
    26 KB · Views: 429
Hata huyo asijisumbue. Utakuta ujambazi huo unafanywa na wenye madaraka ndiyo maana huyo jamaa asipate taabu. Yaana Tanzania imefikia hapo? Kwanini wananchi wamejirahisisha na kukubali kuwa mashahidi wa maangamizi yao kama kwamba wao ni mataahira?
 
Kodi zetu zinatumika ovyo ovyo tu, asante waziri Magufuli kwa kuliona hili. Sisi wananchi tunakuombea kwa Mungu akulinde dhidi ya waovu hao.
 
Hiyo ni kawaida sana kwa haya magari ya serikali kuwa na plate namba zaidi ya moja! Uhalifu tu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma!
 
Kodi zetu zinatumika ovyo ovyo tu, asante waziri Magufuli kwa kuliona hili. Sisi wananchi tunakuombea kwa Mungu akulinde dhidi ya waovu hao.

ukipita kila bara bara dar unakutana na shangingi lina plate namba ya private aafu linaonekana bado jipya. Mi roho yangu ilikuwa inaniuma kweli, kwamba mi bado natumia tz 11 aafu mabinti wadogo wadogo wanaendesha magari makali namna hii! Wamekwishaumbuliwa na uzinzi walionao. Mbona kwenye suzuki hawabadili hizo plate namba? Kodi zetu wanazitumia kwenye uhuni wao? Si wanunue ya kwao? Kumbe ndo mana wanalazimisha serikali kununua magari ya anasa ili wawe wanashindana na watu wenye hela zao, maskini wakubwa hawa! Pumbaf kabisa.
 
picha ya kitambo sana jf. lakini ni vizuri kujikumbusha mambo muhimu kama haya. mia
 
Hiyo ni kawaida sana kwa haya magari ya serikali kuwa na plate namba zaidi ya moja! Uhalifu tu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma!

haya magari yanatumika sana kwenye wizi na usafirishaji wa mizigo haramu.
 
Hata huyo asijisumbue. Utakuta ujambazi huo unafanywa na wenye madaraka ndiyo maana huyo jamaa asipate taabu. Yaana Tanzania imefikia hapo? Kwanini wananchi wamejirahisisha na kukubali kuwa mashahidi wa maangamizi yao kama kwamba wao ni mataahira?
Mkuu hata ukipiga kelele unaambiwa wewe utakuwa ni Chadema tu na una wivu wa kike dhidi ya magamba,tuliempa mamlaka na wa kutusikiliza malalamiko yetu ndie huyo huyo nae analia lia kuhusu suala la rushwa...tunahitaji ukombozi soon.
 
Hiyo hatua ya magufuli itaenda mpaka TISS au? Manake TISS ndo wanaongoza kwa hiyo tabia! Unakuta gari jipya but namba inayotumika ni ya miaka kumi iliyopita. Ukiwauliza utasikia, ni sababu za kiusalama zaidi.
 
picha ya kitambo sana jf. lakini ni vizuri kujikumbusha mambo muhimu kama haya. mia[/QUOTE=
loo nimekubamba humu uje kule unakesi yako nasubirije majibu kwa hamu
hapa napaheshimu naogopa kuchakachua thread
back to topic hiyo kiboko two in one!!!!
 
Mkuu hata ukipiga kelele unaambiwa wewe utakuwa ni Chadema tu na una wivu wa kike dhidi ya magamba,tuliempa mamlaka na wa kutusikiliza malalamiko yetu ndie huyo huyo nae analia lia kuhusu suala la rushwa...tunahitaji ukombozi soon.
Kitendo cha mkuu wa kaya kulia kuhusu suala la rushwa pasipo kuchukua hatua yeyote ni sawa na baba kushindwa kusimamia familia yake na kukimbia!!Hii dhana ya kuwa jamaa ni dhaifu mwanzoni nilikuwa naona kama joke vile, but rightnow naiunga mkono kwa zaidi ya asilimia 100 huyu mtu hatufai kabisa!!ukishika nyazifa kubwa kama iyo ujue watu wana imani sana na wewe,ni lazima uwe na maamuzi magumu kwa faida ya umma ulio nyuma yako!!
 
hawachelewi kukuita mchochezi ama CDM na wakishindwa sana watasema hii picha ni duka la picha ~PHOTO SHOP.
 
Kitendo cha mkuu wa kaya kulia kuhusu suala la rushwa pasipo kuchukua hatua yeyote ni sawa na baba kushindwa kusimamia familia yake na kukimbia!!Hii dhana ya kuwa jamaa ni dhaifu mwanzoni nilikuwa naona kama joke vile, but rightnow naiunga mkono kwa zaidi ya asilimia 100 huyu mtu hatufai kabisa!!ukishika nyazifa kubwa kama iyo ujue watu wana imani sana na wewe,ni lazima uwe na maamuzi magumu kwa faida ya umma ulio nyuma yako!!
Naunga mkono hoja 100 kwa 100....:A S-cry:!!!Aaaaaaghh!!
 
Aliyosema magufuli ndo haya

Niliwahi kukutana na hali ya namna hii. Katika interest yangu na magari, niliona gari model mpya ina namba za private ambazo zilitoka kabla model hiyo ya gari haijatoka. Basi nilimsimamisha traffic polisi mwenye pikipiki nikamwambia, unaiona ile gari pale, ina namba feki, labda majambazi wale. Aliifuatilia akaisimamisha, jamaa wakamwambia wao ni maofisa wa Usalama wa Taifa, na wameweka namba ile kwa sababu maalum. Mie nilikuwa nimepaki sehemu nawaangalia, ili nione kama ningetakiwa kutoa msaada zaidi ikibidi!

Alipoambiwa na watu waliokuwa kwenye ile gari kwamba wao ni maafisa wa Usalama wa Taifa yule traffic alirudi kwangu na cha ajabu, akaaanza kunitisha eti kwa nini nafuatilia mambo ya Usalama wa Taifa! Nilimjibu kwamba yeye hastahili hata kuitwa Polisi ni watu kama yeye wanalitia aibu jeshi lote la Polisi. Nikaondoka zangu na kumwambia kama ana tatizo na mimi anifuate na atajua na mimi ni nani! Akabaki kanikodolea macho utafikiri mjusi kabanwa na mlango!
 
Hata Magufuri pia nasikia alichukua gari la wizara ya mifugo akaenda kupigia kampeni kwao........Uzuri wa huyu kiongozi wangu hatetei ubaya sasa anawakataza wenzake wasifanya haya ni mabaya.
 
Mbona Tanroads Wanaongoza kwa Haya Magari ya numba Magumashi!! Mengi yamesajiliwa kwa Plate numba za Kiraia
 
Back
Top Bottom