Mamlaka ya hali ya hewa: Mvua mwezi huu hazitanyesha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka ya hali ya hewa: Mvua mwezi huu hazitanyesha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nitonye, Oct 25, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kuwa zile mvua zilizotegemewa kunyesha hazitanyesha kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Je, huu ni ushindi kwa mchungaji Lusekelo?
   
 2. m

  mwitu JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mi nilijua hakutakuwa na mvua wala nini!
   
 3. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  basi this tyme itanyesa,
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hata siku moja siiamini hii taasisi
   
 5. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hao nao wanakula kodi zetu bure kama takukuru wamebakia kupiga ramli bila kuwa na uhakika.Wamempandisha sana chat Lusekelo.Wametuingiza hasara tuliotafuta mashamba ya kulima tukitegemea kuna mvua.wameona mwezi unaisha bila mvua wanabadili story.
   
 6. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Natambua ni UTABIRI lakini, nashindwa kuelewa kuwa wakati waliposema zitakuwa ni mvua za muda mrefu(siku nyingi)..halafu sababu ya kutonyesha ni Upepo "ulioziondosha" uwepo kuvuma...How does this make sense?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  we ulikua unajua zitanyesha kweli? tma ni janga ndio maana hata lusekelo alijua kwamba ni chai.
   
 8. w

  white wizard JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  jamani hawa tma,hawana vifaa vya uhakika cku zote,ni ujanja ujanja tu!taarifa zao,wanategemea kuzipata toka cairo na s-africa!ndiko kuna vyombo vya uhakika,huwa hata ni tabu kwa marubani,wanapokuwa labda bukoba,wanapoomba taarifa za hali ya hewa ya huko aendako,anaambiwa hamna atumie utaalam wake aliofundishwa!cku moja jk ana waambia wanashindwa nini kuwa kama japan wao wakisema kesho mvua itanyesha kuanzia saa fulani hadi saa fulani na kweli inakuwa hivyo!wakati tatizo linajulikana vifaa hamna!na kila mkoa unatakiwa uwe na vifaa vyake,kwa hali ya sasa unakuta kanda ya ziwa ni mwanza ndio inatoa taarifa za mikoa mingine!ndio maana wanaishia kusema maeneo fulani yatakuwa na ngurumo kidogo na kipindi cha jua!wamekuwa wapiga ramuli.
   
 9. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mm naona hii ifutwe tuu,maana hawana la kufanya,wababaishaji sana.
   
Loading...