maajabu ya wanahali ya hewa wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maajabu ya wanahali ya hewa wa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by John W. Mlacha, Oct 24, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  eti kuna kimbunga kinaitwa anais kimetokea huko bahari ya hindi. Kwa hiyo kimepindisha mvua ambayo walitabiri kuwa itakuja oktoba... Hahahahha
  Mwingira upo??
   
 2. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo kimbunga hawakukiona kwenye darubini yao? Inasikitisha sana, wakitabiri haitokei wasipotabiri kitu balaa! Poor TMA au wanatumia waganga wa jadi nini?
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Huwezi jua walipewa je hizo ajira
   
 4. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani Tz kuna jambo ambalo lafanyika kwa uhakika! Tz ni nchi ya ubabaisha kila kitu ni kuotea kama multiple choice in Mathematics!
   
 5. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeeeeeeeeeeee babaangu wenzenu walikuwa wanamanisha oktoba ya mwakani nyinyi mnafikiri ya mwaka huu
   
 6. J

  John W. Mlacha Verified User

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa
   
 7. q

  querauk Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameajiriwa kwa upendeleo either ni watoto wa magogo/vigogo na shuleni walifaulishwa na maprofesor wa chupi hawana lolote zaidi ya kutabiri kwa kutumia masaburi.aibu kubwa
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Huwa nikimsikiliza mama kijazi anavyojenga hoja kuelezea Yale waliyotabiri awali kuwa hayatatokea namuonea huruma sana, anatumia nguvu kubwa mama watu.
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Darubini iliona Mvua kumbe ni kimbunga....yaaani wakiwa maabara hawa ndio wanasema Una Ukimwi kwa kua, baadae wanabadilisha wanakwambia No no huna UKIMWI.......
   
 10. Root

  Root JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,018
  Trophy Points: 280
  Kuna mchungaji alisema haitatokea ikitokea anaacha kuhubiri

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 11. O

  Ongeauchoke Senior Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania is an irrelevant country.
   
 12. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kwei wanampa ujiko Mzee wa Upako. Kama vile ndiye alieepusha EL Nino
   
Loading...