Tanzania tuna elekea wapi na tatizo la maji kwenye majiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuna elekea wapi na tatizo la maji kwenye majiji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lerai, Oct 25, 2012.

 1. l

  lerai Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ina ni ogopesha hali ilivyo kwenye majiji yetu Tanzania hasa ili swala la maji kwani katika karibu kila jiji Tanzania tuna kutana na tatio hili la maji je serikali hawa jibu au njia mbadala na matatizo haya ya maji katika majiji yetu na katika taifa kwa ujumla
   
Loading...