Amina Thomas JF-Expert Member Mar 9, 2008 272 129 Oct 25, 2012 #1 Katibu wa bakwata mkoa wa arusha amejeruhiwa vibaya baada ya nyumba yake kulipuliwa na kitu kinachosadikiwa kua ni bomu. Source. Itv breaking news
Katibu wa bakwata mkoa wa arusha amejeruhiwa vibaya baada ya nyumba yake kulipuliwa na kitu kinachosadikiwa kua ni bomu. Source. Itv breaking news