Ndugu wanajamvi; Leo nimepata taarifa za gari la kusambaza magazeti kwenda Kanda ya Kaskazini mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuwa limepata ajari wilayani Same likielekea Arusha...
Utakuta mtumishi wa serikali yuko ofisini ndo kila wa kuichamba serikali akiwa kwenye ofisi hiyohiyo ya serikali ... Et serikali imechoka haifanyika ,mafisadi ni wengi, bora kwenda kufanya mambo...
Florah Temba, Kilimanjaro Yetu
WATU watatu wamefariki dunia papohapo na wengine Watano kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T336 BFU Isuzu Pick-up...
Gazeti la Raia mwema linalotoka mara moja kwa wiki [Jumatano] limekuwa adimu kama madini ya Tanzanite hapa mjini Arusha.Taarifa nilizojaribu kudodosa toka kwa wauza magazeti zinabainisha kwamba...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, umekua mno Mwanasiasa, sio mkweli, mjanja mjanja.
Ukiulizwa Jambo lililotokea katika ofisi yako au Mkoa wako unatoa taarifa kinyume na kilivyo. Askari wa...
Naibu mwenyekiti wa jumuiya ya waislam anafanya maandalizi ya maandamano ya waislam Tanzania nzima siku ya ijumaa. Lengo la maandamano ni pamoja na kushinikiza viongozi wa BAKWATA itoke...
Ni siku chache zimepita tumemsikia mkurugenzi wa NSSF Dk akieleza kamati ya mashirika ya umma fao la kujitoa kamwe halitawezekana kwa mfanyakazi atakayejitoa hadi miaka 55 au 60. Wakati tunajiunga...
Kuna taarifa ya kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya kahawa kwa mara nyingine tena inavunjwa.
Serikali itavunja kila Bodi itayounda kama haitashughurikia kiini cha tatizo ambacho ni Mkurugenzi...
HII NDIYO HALI HALISI KWA BARABARA ZA NDANI KILIMAHEWA
Wakati mkandarasi aliyepewa tenda na halmashauri ya jiji la Mwanza akiendelea na ujenzi wa daraja la Big Bite Kilimahewa na...
Wakuu nimekuwa katika safari za kikazi Zanzibar katika pwani za Marumbi na Chwaka.
Nimegundua kuna hoteli ya Msomali yenye kima monkey mkubwa mlangoni (wa kuunda) hoteli hii tumeingia na kukuta...
Wapo radio wasema kuna mtoto huko Pemba kakojolea msaafu na akamvesha mbwa tasbihi shingoni!
Nimesikiliza Radio wapo asubuhi hii kuna habari zinasema kuna kijana amekojolea kurani na sasa polisi...
Imekuwa kama mtindo sasa,..hakunakujali muda kama ilivyokuwa zamani,..Kuanza kwa safari juzi tu hapa lakini delays ni zile zile za Precision Air..worse hawatoi hata taarifa kwa abiria...Badilikeni...
Ni vema tukayatazama haya kwa jicho la tatu. Mungu aepushie mbali hapa kwetu Tanzania, lakini chokochoko zinazozidi kushamiri siku hadi siku (leo katibu wa Bakwata kajeruhiwa kwa bomu, vijana...
Kuna kauli inasema hivi ITS BETTER TO REMAIN SILENT AT RISK OF BEING THOUGHT FOOL,THAN TO TALK AND REMOVE ALL DOUBT OF IT
kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama siasa za afrika na sehemu...
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha...
Hatimaye aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara kabla ya kupigwa chini na JK Cryril Chami mbunge wa moshi vijijini ameibukia chama kikuu cha ushirika kncu akiwa na mwenyekiti wa bodi ya chama...
mwanamke, Fatma Msuya mkazi wa mwenge nzasa, dar anamtafuta mtoto wake, Daudi Mbura (2), baadaya kutekwa na kuchukuliwa katika eneo la mlimani city na kada wa CHADEMA Gwakisa Mwakasendo.
taarifa...
Katika kile ambacho ckutaraji kukiona na cjawahi kuona hata kama Rais akipita kufungwa kwa barabara ya kutoka mjini kwenda Airport kwa takriban nusu saa ili kupisha mkuu wa police kupita na...
Wana JF naanza kupata wasiwasi na kushindwa kuelewa juu ya swala hili.
Hivi ni kweli Mh. Lowasa ni mtoa rushwa mkubwa kiasi cha kuweza kuhonga kila mtu na kufanikiwa kiasi hiki ninachosika na...