Kada wa CHADEMA amteka mtoto Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada wa CHADEMA amteka mtoto Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lua, Oct 24, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwanamke, Fatma Msuya mkazi wa mwenge nzasa, dar anamtafuta mtoto wake, Daudi Mbura (2), baadaya kutekwa na kuchukuliwa katika eneo la mlimani city na kada wa CHADEMA Gwakisa Mwakasendo.

  taarifa za kutekwa kwa mtoto huyo zimeshapelekwa katika kituo cha polisi mwenge toka juzi namba ya rb ni mwe/RB/2648/2012. kwa mujibu wa bi rehema bibi wa mtoto aliyetekwa kuwa bwana Gwakisa ni mtaalamu wa mambo ya upimaji wa teknolojia ya digitali (GPS), wa chadema ambaye ni mkazi wa makuburi mabibo. baada ya kumteka huyo mtoto alizima simu zake za mkononi.

  fatma alikua na mahusiano ya kimapenzi na Gwakisa na mwaka 2010 na kumi alipata mimba lakini mwanaume huyo alimtelekeza hadi hapo hapo juzi alipotaka kumchukua mtoto huyo.

  kwa upande wake fatma alisema kuwa gari lilomteka lilikuwa na watu wanne mmoja wao ni mwanamke na baada ya tukio hilo mmoja aliacha na gari hilo na alipokuwa akiwasiliana na wenzake alishtukiwa na watu na kuanza kumshambulia kwa kipigo. kufika kwa fatma maeneo ya mlimani city kuitikia mwito wa bw.

  gwakisa baada ya kumpigia simu kuwa wakutane neo hilo kwani anataka kumnunulia mtoto zawadi na ndipo bint huyo kufika eneo na kumkuta na zawadi ya baiskeli kubwa ambayo haiwezi kumfaa huyo mtoto. wakati fatma akishangaa hiyo baiskeli ndipo baba huyo alipomchukua mtoto na kukimbia kwenye gari na kuondoka nae.
  source: jambo leo
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Wewe ulijuaje kuwa ni kada wa CHADEMA?
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Katekwa kachukuliwa na baba yake?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chadema inahusika vipi hapo?
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Bona shehe faridi alijiteka lakini hukuleta thredi?
   
 6. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Umejuaje kuwa ni kada wa CHADEMA? Je amemtekaje? Umeyaskia maelezo ya mama mwenye mtoto?
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Yeah_mwenda kwao.................
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Yeah_mwenda kwao................._sisi wanyakyusa damu zetu hazipotei kamwe mkuu...good Gwakisa
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh lakini kwanini amkwapue?
  Si angefanya utaratibu mzuri!
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wonders shall never end!!!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mtoto kachukuliwa na Baba yake!

  Haya ni mambo ya kifamilia!
  Mi naona mpaka hapo hakuna tatizo hata kidogo maana hata huyo baba wa mtoto atakuwa na maelezo ya kutosha!
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Chadema mnateka mpaka watoto wadogo ambao hawana hatia.
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  CHADEMA haina makada ina makamanda, huyo lazima atakuwa ni kada Gamba
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Source:Habari Leo.
   
 15. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Ndugu nakubaliana na wewe taarifa hii ipi Jambo leo, lakini ebu tutafakari kidogo

  - Unaposema Gwakisa ni kada wa CDM hivi CDM ikiajili mtu kwa ajili ya kazi zake ni Kada?
  - Huyo Mwanamke anatoa kauli yakusema hadi hapo juzi alipotaka kumchukua inamaanisha anajua wazi jamaa alitaka kumchukua mtoto alipeleka wapi taarifa hizo? na kwa nini alikwenda na mtoto yule pale Mlimani City
  - Inatakiwa ujue CCM wameshindwa mbinu zote za kuichafua CDM hadi wanataka kutumia mbinu dhaifu kama hizi, kilichotokea hapo ni baba kamchukua mtoto wake.
  - Pia suala hili halihusiani kabisa na CDM.
   
 16. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kazi kwelikweli bila chadema,kutamkwa watu wanaona hawajafanya kitu,na bado watakuwa wanaiota sasa baba kachukua mwana eti katekwa khaaa!...
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kaona akisema katekwa ndo atavuta hisia za watu, baba amteke mwanae!?
   
 18. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kwa maelezo haya niliyo highlight hapo hakuna utekaji. Na ni dhahili kuwa huyo Gwakisa hakumtelekeza mtoto kama tunavyotaka kuaminishwa na mleta taarifa. Kama alimtelekeza iweje akubali kumpeleka mtoto ili anunuliwe zawadi. Lisingekuwa jambo rahisi kwa mtu aliyesusiwa mimba/ujauzito.
  Je kunauhusiano gani kati ya anayedhaniwa mtekaji na Chama chake? Je hawezi kujadiliwa bila kukihisisha chama. Watu kama ninyi msipojirekebisha mtaanza kutambuana mtaani kwa vyama vyenu, kwamba yule mwenye baiskeli ile ni chama flani na yule mwenye nyumba pale ni chama flani na yule mgonjwa aliyelazwa ni chama flani. Si kila mahali siasa inatumika. Ni vema busara itawale kwa kila jambo.
   
 19. L

  Lua JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hilo swali lingepaswa kuulizwa mwandishi wa habari wa jambo leo na ndio maana nimeweka source ya habari ni nani?
   
 20. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  CCM inateka wenye hatia kama Dr. Ulimboka na Shk Farid wa Uamsho!
   
Loading...