Madiwani wa Chadema watwangana Moshi

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU
 
Hii nayo umeona ni story???Una lako jambo gamba mkubwa wewe....ptyuuuuuuuu!!!Tupa kuleee.
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Mkuu, hujawahi katika maisha yako kuona au hata kusimuliwa watoto wa baba na mama mmoja wakigomabana au hata kukipigana?
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Acha unafiki wewe, hao madiwani walipoulizwa gazeti la Mwananchi, juu ya ugomvi huo walikana kwamba hapakuwa na ugomvi kati yao wala hakuna jambo kama hilo, hizo ni propaganda zenu magamba mkiongozwa na Mwenyekiti wenu wa madawani magamba Moshi Bw MWITA.

Hata mfanyeje hamuwezi kuing'oa CHADEMA Moshi, kajaribuni kwenye miji mingine ila si Moshi.
 
Ni kitu cha kawaida katika maisha ya binadamu,hata meno ya binadamu katika kinywa chake ugongana,na kugongana huko haina maana kuwa hayapendani!
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

He he heeeeee kumekucha , waache wafu wawazike wafu wenzao. Hapo bado hawajapewa nchi, siku wakipewa nchi watagombea mpaka hazina ya nchi na kugombea rasilimali za nchi. Tuliisha sema cdm iko kwa maslahi binafsi na si ya nchi, kalagabaho !
 
Acha unafiki wewe, hao madiwani walipoulizwa gazeti la Mwananchi, juu ya ugomvi huo walikana kwamba hapakuwa na ugomvi kati yao wala hakuna jambo kama hilo, hizo ni propaganda zenu magamba mkiongozwa na Mwenyekiti wenu wa madawani magamba Moshi Bw MWITA.

Hata mfanyeje hamuwezi kuing'oa CHADEMA Moshi, kajaribuni kwenye miji mingine ila si Moshi.

Kwa kawaida ukiisha muona mtu anabisha mpaka povu la mdomo linajaa, basi ujue habari hiyo ni ya kweli, ndivyo ulivyo fanya ww sasa
 
hata mkikata ukweli ndo huo hakuna kuficha siri hapo limesanuka..tatizo lenu mnajiona kuwa CDM ni chama safi kuna wote vimeo tu ..kweli muda huu mnagombania kupanda gari la meya???dahh.sa hii nchi mtaweza kuingoza kweli ninyi watu si mtaaja ikulu sasa kila mtu atataka ake hapo..... kubalini ukweli CDM...
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU
Msikiti wa Kwamtoro Kariakoo haupiti mwezi mzima bila kuchapana.Tena wakati wanachapana ukifika huwezi kugundua nani sheikh,imamu,ustadhi wala muumini wa kawaida.sembuse madiwani.
 
Yani humu ni usawa tu habari zote tunaweka ..mana mnakuwaga mbelembelee kuweka za ccm.... Sasa ngoma hiyo mnagombania gari ya meya mnatutia mshaka ninyi watu cdm... Mezeni nzima nzima hiyo..
 
He he heeeeee kumekucha , waache wafu wawazike wafu wenzao. Hapo bado hawajapewa nchi, siku wakipewa nchi watagombea mpaka hazina ya nchi na kugombea rasilimali za nchi. Tuliisha sema cdm iko kwa maslahi binafsi na si ya nchi, kalagabaho !

washaanza kuvimbiwa na vipesa vya halmashauri,eeeeeeeeeeeee Bwana Mungu Muumba wa mbingu na nchi,iepushe "inji" hii na hawa walafi na mafisadi CHADEMA
 
wanaonyesha wana uwezo mkubwa sana wa kusimamia wanachoamini kuwa ni sahihi, nawapenda sana chadema kwa sababu katika uongozi wao hawaonyeshi kuwa na kolabo ili kutufilisi, jambo ambalo ni faida kwa taifa.
hongera madiwani kwa kutushirikisha kusimamia fikra kwa stail hiyo

KIPAMBANUZI;
hakuna mwana ccm hata mmoja anayehoji uhalali wa ccm kutumia magari ya serikali kwa shughuli za chama. wote wanakubaliana kuihalifu sheria.

wana ccm wote wanakubaliana kwa vitendo kufisadi mali za taifa.
 
hakuna kitu hawa CDM wanajipambanua et tunaweza ongoza nchi hakuna kitu wanafiki tu..MWANZA TAYARI IMEWASHINDA NA SI MUDA MREFU 2015 HAIFIKI MOSHI NAKO KUTAWASHINDA ..
 
Halmashauri za moshi na mwanza ndio ilikuwa kipimo tisho cha cdm kweli wanaweza ongozi hii nchi au la..tumewaa hizo halmashauri lakini zimewashinda ...sasa kama kasehemu kadogo mnagombana hivyo sa mkipewa nchi... Kijapangeni upya cdm huo ndo ukweli..
 
ccm nao wamekuwa kama wapinzani,wanatafuta tu madhaifu ya cdm badala ya kutakeleza ahadi.
 
Mkuu, hujawahi katika maisha
yako kuona au hata kusimuliwa watoto wa baba na mama mmoja wakigomabana
au hata kukipigana?

njaa ndizo zinawasumbua, wanajua sana anayepanda gari la meya hapa moshi mara nyingi ukishuka Meya hakuwachi patupu, angalau watoto wanaenda choo.
 
Acha unafiki wewe, hao madiwani walipoulizwa gazeti la Mwananchi, juu ya ugomvi huo walikana kwamba hapakuwa na ugomvi kati yao wala hakuna jambo kama hilo, hizo ni propaganda zenu magamba mkiongozwa na Mwenyekiti wenu wa madawani magamba Moshi Bw MWITA.

Hata mfanyeje hamuwezi kuing'oa CHADEMA Moshi, kajaribuni kwenye miji mingine ila si Moshi.

huyu jamaa ni mpuuzi. Ameikatisha hiyo habari ili wajifurahishe na magamba wenzie. Hata hivyo haitawasaidia sana. Chama wanachokishabikia kimeshakufa zamani!
 
Back
Top Bottom