PICHA; MWANZA yetu JIJI la DHAHABU, HII NDIYO HALI HALISI KWA BARABARA ZA NDANI KILIMAHEWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; MWANZA yetu JIJI la DHAHABU, HII NDIYO HALI HALISI KWA BARABARA ZA NDANI KILIMAHEWA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Oct 25, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145


  HII NDIYO HALI HALISI KWA BARABARA ZA NDANI KILIMAHEWA


  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Wakati mkandarasi aliyepewa tenda na halmashauri ya jiji la Mwanza akiendelea na ujenzi wa daraja la Big Bite Kilimahewa na ukarabati wa njia mbadala kwaajili ya kuunganisha eneo hilo na barabara ya kuelekea Nyasaka na maeneo mengine ukiendelea...hali ni tete kwa barabara nyingi zilizo ndani ya mji huo.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Mifereji ipitishayo maji yatiririkayo ni midogo na mingi imeziba hivyo maji yanakatiza katikati ya barabara na kuharibu miundo mbinu.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Katika maeneo mengine maji yamatengeneza madimbwi makubwa katikati ya barabara.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Ni kama hakuna barabara vile....[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Barabara zinapogeuka kuwa.... [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Wenye nyumba zao maeneo haya na kuta za nyumba zao....[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mbele ya shule ya chekechea...[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Yahitaji mahesabu wakati wa kuvuta hatua...[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mbele ya mjengo[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mbele ya maduka.... kwenye barabara hizi zenye kilio cha miaka nenda rudi..[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu Nguu007
  Onyesha na upande wa pili maana hakuna hadithi yenye upande mmoja. Mwanza haiwezi kuwa chepechepe yote. Una hoja lakini approach yako itaiharibu hoja yako. You are but biased na hii ni mbaya katika kuleta habari. Leta picha zaidi ya upande wa pili tutakuchangia ufurahi. Bila kufanya hivyo tutakuudhi kwani unatuudhi pia.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Vipi niko BIAS?
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh bongo zaidi ya uijuavyooo. miaka 50 ya uhuru
   
 5. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Its true, your observation is very right mkuu. There are such good places in Mwanza, mleta mada ilibidi aonyeshe pande zote mbili. Maeneo ya city centre, capripoint hata Isamillo pako classic sana, show the world both sides of the city.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni barabara moja tu, tupe nyingine tuone hali halisi ilivyo badala ya kutoa conclusion kwa picha za barabara moja.
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Sogelea sogelea na mitaa yetu huko bugarika!! Hiyo mitaa itakuwa kirumba na kilimahewa
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145


  Zinakuja TARATIBU... Inaonyesha ni LAZIMA tu Ukiamka ASUBUHI kuosha USO na KUPENDEZESHA MENO

  Na Haujui KWANINI MDOMO BADO UNANUKA; SIRI ni KUSAFISHA IPASAVYO HUO ULIMI... Sasa Serikali ya CCM

  Inapendezesha MWALI NJE inasahau NDANI..

  Kilimahewa zamani kulikuwa ndio KUNA OFISI za EAST AFRICAN MEDICAL RESEARCH...
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Your info is biased and you are bias. Nadhani wengine wameishachangia kuhusiana na hili mwanangu Nguu007
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Sasa kama ni HIVYO ina MAANA mtu akifika NY akae tu MANHATTAN? asitembelee BOROUGH zake kama BRONX; QUEENS na BROOKLYN?

  Na Unajua hayo sio Maendeleo ya NCHI BASI; Mnajua KILIMAHEWA kulikuwa na OFISI za EA MEDICAL RESEARCH

  MaDocta Mabingwa kama NKULILA; EYAKUZE walikuwa wanafanya kazi huko na wengi tuuuu....
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  How can you really call a LIVE PICTURE SNAP as BIASED? We have tried to SHUT OUR EARS not to hear the RULING Government Evils now we had to CLOSE OUR EYES not to SEE EVIL???
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  ninachojua mwanza ni jiji linalojijenga lenyewe...
  hakuna juhudi za makusudi za serikali kulijenga jiji hili''
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nguu007
  The issue hither is not live or otherwise picture but lack of the other side of the coin. If your aim is to show evil side of Mza, it will make more sense to show the good side so that readers can decide by themselves. Methinks this will make you a bit egdier than gullible.
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  That's we call it KISS and MAKE UP; I believe in myselfand my own Voice, because there will be times only one who fight for CHANGE;Ok, I might risk it because I don't sugar coated anything...

  Let them see the other side of the coin...
   
 15. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nguu007, if all media would work following your modus operandi, no news would be disseminated. Again, you need to be changed bofore you change others if at all this is the very way you analyze things. I am afraid, forcing me to understand you where you are not does not do you good.
   
 16. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu kweli kabisa nashindwa kuona tatizo lipo wapi..., angalia heading inaelezea hali halisi ya barabara za ndani Kilimahewa Mwanza..., (ambapo nimesikia hili ni tatizo kubwa hadi magari yaligoma kwenda..)

  Sasa wewe unangangania aoneshe sehemu ambazo hazina tatizo what for ?, yaani mtu akielezea uchafu wa choo chako ili kiweze kusafishwa wewe utangangania kwamba sebule yangu ni safi?..
   
 17. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mwanza kiboko!
   
 18. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu nnguu007, sidhani kama Mwz kote pako hivyo na ngumu ku-conclude barabara za jiji hilo maana hata huku sehemu kibao tu (Tandika, Manzese, n.k) ziko hivto na zaidi ya hivyo.

  Labda ungesema barabara za Kitanzania.
   
 19. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kigezo kilichoupandisha mji kuwa jiji ilikuwa ni nini? inawezekana kuushusha hadhi huu mji wa Mwanza? Nilitegemea kama ni usafi basi Moshi inastahili kuwa jiji sasa.
   
 20. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kuna hiyo moja yenye maji maji inayopita Rehema hotel inatokezea barabara ya kwenda airport nasikia inajengwa kwa kiwango cha lami inaunganikia maeneo ya kiloleri (inakutana na ile inayotoka Buzuruga kwenda Pasiansi inayoendelea kujengwa, hofu yangu tu technolojia itakayotumika kujenga hiyo barabara na fungu lililopo maana mkandarasi ni mzalendo (Nyanza road) hivyo ni rahisi wazee wa shortcut kumuuingia na kuchakachua BOQ
   
Loading...