Inanitoa ushamba

Inanitoa ushamba

Duh...pole sana m2 wangu, ndivyo inavyokuwaga mwanzo siku zote huwa mgumu, lkn taratibutaratibu utaizoea tu na utaifurahia utamu wake! teh! teh! teh!
 
Muonekano wa zamani umeuona lini na mpya lini?kuanzia hiyo tar.09/10/2012?
 
Back
Top Bottom