Ushirika kilimanjaro kufa?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushirika kilimanjaro kufa??????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M4C ARUSHA, Oct 25, 2012.

 1. M

  M4C ARUSHA Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara kabla ya kupigwa chini na JK Cryril Chami mbunge wa moshi vijijini ameibukia chama kikuu cha ushirika kncu akiwa na mwenyekiti wa bodi ya chama hicho mernad swai na kukimbilia kwa rc gama kuomba kncu wapewe kibali cha kusambaza sukari


  (1)Chammy hataki kukubali kuwa yeye sio chochote wala lolote serikalini?


  (2)anataka kuiambia nini tpc kama iliona kncu haiwezi kusambaza sukari?
  (3)ana utaalamu gani katika biashara


  (4)kama rais alishamuona kuwa dhaifu kiutendaji anataka kutumia madhaifu yake kuiua tpc kiuchumi?
  (5)kama wafanyakzi wa kncu wanadai imepata hasara kutokana na biashara hiyo sawai na chami hawayaoni haya?


  (6)kncu imejaa magamba na chamy ni moja kati ya magamba vipi nyani na ngedere wanaweza kushauriana?


  (7)chami ana maslahi gani kncu kwa sababu hata bustani ya kahawa hana
  (8)katibu wa chami ,martin mallya ni mjumbe wa bodi lakini wakati huo huo mwanaye anafanya kazi kncu licha ya kuwa mtoto huyo ni" kilaza"


  (9)mwenyekiti wa kncu ni mmoja ya watu wasiokuwa waaminifu katika nchi hii…regnald mengi anajua alichofanyiwa na huyu bwana  (10)mwenyekiti huyu anaishi kwenye nyumba ya kncu iliyopo shantytown licha ya kwamba yeye sio mtumishi lakini bado amekuwa akilipa kodi kidogo ya 150000 ambayo hadi sasa kwa zaidi ya miaka 4 hajalipa hata sent
  Serikali ya cc mina mpango gani wa kunusuru ushirika mkoani Kilimanjaro?au hadi ifilisike ndipo hatua za kuunda tume zianze?ni akili ya huyu mtu au kuna watu nyuma yake?
   
 2. Ncha

  Ncha JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwani KNCU kusambaza kahaw ni kosa?? na Chami kama mbunge wa sehemu hiyo ni haki yake kwenda kujaribu kikitetea kama ni kwa maslahi ya wanachama. mi si mtaalam wa usambazaji lakini kama wanaamini wanaweza na walishashindwa mwanzo haki yao ya kujieleza haijafutika.
   
Loading...