Chadema na vurugu za waislaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na vurugu za waislaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sajosojo, Oct 25, 2012.

 1. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kuna kauli inasema hivi “ITS BETTER TO REMAIN SILENT AT RISK OF BEING THOUGHT FOOL,THAN TO TALK AND REMOVE ALL DOUBT OF IT’’ ​

  kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama siasa za afrika na sehemu nyingine za Dunia nilichokigindua kwa afrika zinaendeshwa na upepo sana tena unaovuma pasipo UELEKEO na siku zote siasa za afrika zimelenga kuwapata emotional voters na si rational voters, Tanzania kama nchi ya afrika haijapona kuzikwepa siasa za kipuuzi na kihuni.

  Nakumbuka nikiwa chuo niliwahi kuhudhuria MKUTANO wa CHADEMA VIWANJA VYA MAKUBURI KARIBU NA MABIBO HOSTEL , moja ya kauli ninayoikumbuka na ilitolewa na DR SLAA kuwaTANZANIA hakuna udini na kama kuna udini ni jukumu la serikali kutatatua hilo suala,

  KWA muda wa mwaka mzima nimekuwa nikisikia fujo sehemu mbali mbali zikuhusisha masuala ya kidini, kwa mwenye kumbukumbu zangu nakumbuka FUJO ZA MWANZA ,ZANZIBAR, TUNDULU, DAR NA SONGEA na siku zote nilikuwa sijasikia kauli za vyama vya kisiasa Vikizungumzia HIZO FUJO, nakumbuka pia kwenye MKUTANO WA CUF kuna mtu aliwaomba waislam kukiunga MKONO CUF eti kwa hoja CCM IMEWASALITI,

  lakini juzi jumapili nikiwa nasikiliza radio WAPO FM nilisikia mahojiano ya MABERE MARANDO(mwanasheria wa CHADEMA) akitoa msimamo wa chama chake kuhusu fujo za kidini ZA ijumaa iliyopita ,alisema hivi" Tanzania hakuna UDINI ILA KUNA MGOGORO WA WAISLAM NA serikali ya CCM, NA HATA WALE WANAOCHOMA MAKANISA NI WAHUNI NA AKAIKOSOA MAHAKAMA KWA KITENDO CHA KUTO KUMPA SHEIKH PONDA DHAMANA,na akamalizia kwa KUIKOSOA Bakwata na kudai haiungwi mkono na WAISLAM WA tanzania baaada ya Hii kauli kuna maswali ya ufahamu ambayo CHADEMA WANGEWAPA MAJIBU WATANZANIA ILI tuweze kutofatisha CHADEMA NA CCM ,

  1. Je kama wanaochoma makanisa ni wahuni kwa nini WANACHOMA makanisa TU na si MISIKITI AU NYUMBA NYINGINE ZA IBADA ​
  2. Kama kweli wanaochoma makanisa ni wahuni, chadema wanaushahidi upi unaothibitisha uhuni wa hao wachoma makanisa ​
  3. kwa sababu CHADEMA WAMESEMA wanaochoma makanisa ni wahuni beyond a reasonable doubt chadema wanawajua hao wahuni , je wamechukua hatua gani katika kuwasaidia polisi ili wawakamate hao wahuni au wamechukua hatua gani kuhakisha hao wahuni hawarudii tena kuchoma makanisa ​
  4. Anadai BAKWATA haiungwi mkono na waislam wa TANZANIA HASA MUFTI WATU HAWAMTAKI, JE ni kura gani ya maoni CHADEMA WAMEWAHI KUITISHA ILI tujue ni waislam wangapi hawaitaki BAKWATA NA mufti ​
  5. marando ni mwanasheria mzuri tu je hajui dhamana ni nini na hoja iliyotolewa na makahama ni mpya kwake na haipo kwenye procuderes ​
  6. Kwa kuwa KUCHOMWA makanisa na hizi fujo hazijanza leo je CHADEMA WALIKUWA WAPI KUTOA MSIMAMO WAO YALIPOCHOMWA MAKANISA​
  7. Kwa kuwa chadema ni wasemaji wa waislam kuna madai ya MSINGI AMBAYO WAISLAM WANATAKA moja wapo ni la kadhi MSIMAMO WA CHADEMA NI UPI ​
  8. KWA KUWA ZANZIBAR ni sehemu ya Tanzania na kuna uchomaji wa makanisa huko je tamko la chadema ni lipi Pia bado sijaelewa vyombo vya habari vya Tanzania kazi zake zipi, vingi vimetoa kauli za kulani fujo za ijumaa na kuponda sana, mbona waislam wanapodai haki zao vinaponda kuwa hawakufuta utaratibu lakini kwa nini havipondi pale wafuasi wa vyama vya siasa wanapogoma kufuata taratibu za nchi AU WAFUASI WA VYAMA FLANI WAKIDAI HAKI ZAO PASIPO KUFUATA UTARATIBU NI HAKI ILA SIE WAFUASI WA DINI TUKIDAI HAKI ZETU NI UHUNI FLANI EE,​

  Ikumbukwe utashi wa wanasiasa wetu hauwezi kumaliza migogoro ya kidini , dini si kitu cha kuchezea na kutafutia UMarufu mnatupoteza kwa majibu yenu mepesi mepesi, Ntaendelea kuipenda Tanzania na si chama cha siasa hivyo sitakuwa mnafiki kwa nchi yangu​
   
 2. data

  data JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,735
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  para your work p'se
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Sawa Sheikh..........punguza hasira na keyboard,Then we unaamini Marando anaweza kukusaidia kutatua matatizo yako ili hali kuna chama tawala na serikali iliyo madarakani?
  Na Marando aliongea mawazo yake ambayo hata mimi nakubaliana nayo sana kwamba mgogoro wa waislamu unasababishwa na makundi yaliyopo BAKWATA na nje ya Bakwata.
   
 4. Boko haram

  Boko haram JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,143
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  nakusikitikia umepoteza muda kuandika kitu cha kipuuzi kwani QURAN imeanza kukojolewa leo au kuchomwa moto leo ww ulisha wahi kusikia muislamu anachoma bibilia mbona hilo hilioni?
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  TAnzania si nchi inayofuata mfumo wa kidini. sasa kama Mkuu wa BAkwata Tanzania anapatikana kwa mkono wa Serikali ya CCM basi katiba inasiginwa kama ndugu Leo Lwekamwa alivyofanya enzi hizo pale Jangwani. Kuchoma makanisa haimaanishi kuwa KAtiba imebadilika bali kuna watu ambayowanataka kubadili katiba kabla ya utaratibu maalumu kufuatwa.

  ZAnzibar kwa jinsi katiba ya Zanzibar ilivyosambaratishwa na wao iko inasigishana na katiba ya Jamuhuri. hivyo hakuna muungano kwa sasa na uliopo ni nadharia tu. KAma zanzibar kuna Rais na makamu wa Rais hapo kuna Muungano kweli ndugu yangu!! Funguka!!
   
 6. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Fupisha kidoogo
   
 7. M

  MTK JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  sajosojo Too long on words BUT short on logic!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jibu la hii mada ni yaliyotokea huko arusha..
   
 9. don12

  don12 JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 676
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  CHADEMA wameropoka nafuu wangekaa kimya, kujipendekeza kwao kwa waislam kunawafanya wanuke mavi, kwao inaonekana kuchoma makanisa ni sawa tu, serikali sasa inaonekana kuwa na busara kuliko wao cdm, mmeropoka kama mulugo, tunaanza kuwatilia shaka kwa kuwa ma- opportunists,
   
 10. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Bado nacctiza kuw mcmamo wangu na wenu ni tofaut sana!! unajua kwnn 'nyani' ana dini yake na c hizo zilizoletwa kw majahaz na mel toka ulaya na uarabun. Dini hizo c zenu, wenye din zao ni wazungu na waarab! funguken nyie manyan, au mpka mrushiwe ndiz!!!
   
 11. M

  Mpwechekule JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wana vichwa vigumu humu sijapata ona unawezaje kulaum cdm kwa kutoa tamko la chama? Pia ikumbukwe hawajasema kama ponda ana hatia au la wanachopigania shku zote ni haki za raia, sheria na katiba ifuatwe, jitu lingine linamlaumu aliepewa jukumu la kukisemea chama, eti marando marando wasemaji walikuwa wawili na safari na sijaona kosa lao kama viongozi pia tamko lilikuwa la haki, na waliongea vizuri kisheria
   
 12. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa uharo wako huu, naamini kabisa uli-disco pale UDSM.
   
 14. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Sasa kwa nini mnashabikia imani zisizokuw za kwenu...kwanin mnachukiana...kwanin mnauwana...mi inaniuma sana ninapoona huu ushabik unavyotugawa cc watu weus na kupelekea kuuwana, eti kisa dini! ina maana ndivyo mafundisho mnayopewa huko kwenye ibada...au?
   
 15. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
   
 16. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Lets think in other side mkuu mtoa hoja, unajua kulikuwa na kashfa ya chadema ya kuwa ni chama cha wakristo. lakini wametutibishia ya kuwa chadema IS FOR PEOPLE, BY THE PEOPLE AND FOR THE PEOPLE. sio kwamba chadema inataka kura zao ila inataka watu wapate haki zao. elewa kuwa chadema pia inauchungu wakubaniwa na vyombo vya dora kukusanyika au kufanya maandamano kwa hiyo wameona bora washare pain na waislamu wao ingawaje waislamu walikuwa wamekosea kureact kwa kuchoma makanisa. bila shaka uchomaji wa makanisa ni uhuni kwasababu TANZANIA hamna udini na hatujafika huko. CHADEMA - peoples power!:watu wanatakiwa wapewe nguvu ya kutawala nchi na si watawala wawe na nguvu kututawala sisi. kusema ukweli chadema haijakosea kusema kwamba waliochoma makanisa ni wahuni ambako wahuni huwagahawafikirii kabla ya kutenda. BASI KAMA UTAENDELEA KUWEKA MSIMAMO WAKO, wewe utakuwa una udini wa ndani uliojifisha na upo uwezekano ukawa UHAMSHO!!!
   
 17. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkuu tafakari kabla ya kuandika. Tatizo la wakina Ponda na UAMSHO limeanzishwa na kukuzwa na CCM. Chadema walichokisema ndo kauli ambayo ina balance pande zote ili wasionekane wako upande wowote. Hata kama kuna matatizo ya waislam, chanzo ni uongozi wa CCM ambao kila siku wenyewe ni kulalamika na kushangaa tu.
   
Loading...