ATC: Yale yale ya Precision Air

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,598
1,539
Imekuwa kama mtindo sasa,..hakunakujali muda kama ilivyokuwa zamani,..Kuanza kwa safari juzi tu hapa lakini delays ni zile zile za Precision Air..worse hawatoi hata taarifa kwa abiria...Badilikeni kungali mapemaaaa.

Hii katika ndege ya tarehe 25. 10.2012 kuelekea Dar -Mwanza ya jioni..lakini hata last week j4ilikuwa vivyo hivyo!
 
Ni lini ilitokea hiyo mkuu, na ni route ipi? Mbona maelezo yako hayajitoshelezi. Maana mimi leo nategemea kuondoka nayo hapa Mwanza, nijiandae kabisa na hayo mateso.
 
Ni lini ilitokea hiyo mkuu, na ni route ipi? Mbona maelezo yako hayajitoshelezi. Maana mimi leo nategemea kuondoka nayo hapa Mwanza, nijiandae kabisa na hayo mateso.

Sorry mkuu, kwa hilo...ilitokea jana Boeing 737, Flight TC 102, Dar- Mwanza!!
Yaani after checking in tukaka saa nzima zaidi from Departure time, watu wakaanza kuingiwa na hofu, halafu hawatoi taarifa!!
 
Back
Top Bottom