Kila penye rushwa ndani ya CCM anatajwa Lowassa , je hii ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila penye rushwa ndani ya CCM anatajwa Lowassa , je hii ni kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mayoya, Oct 25, 2012.

 1. m

  mayoya Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF naanza kupata wasiwasi na kushindwa kuelewa juu ya swala hili.
  Hivi ni kweli Mh. Lowasa ni mtoa rushwa mkubwa kiasi cha kuweza kuhonga kila mtu na kufanikiwa kiasi hiki ninachosika na kuona kikionyeshwa na wapinzani wake? Rushwa jumuia za chama(wazazi, wanawake, vijana, ujumbe NEC, nk)

  Nashindwa kuamini kama kweli huyu mheshimiwa ni mtoa rushwa kiasi hiki, kwa nn?
  1. Kweli watu wote ni wala rushw kiasi cha kuwafanya wakubali fedha na mawazo ya Mh.?
  2. Ni kweli mh. ni mtaalamu wa kutoa rushwa kiasi cha kuwakwepa TAKUKURU kila wakati?
  3. In maana vijana wote wa CCM ni mbumbu kiasi cha kuamuliwa kiongozi?
  4. Mh. hela yote hii anapata wapi?
  5. Wajumbe wote CCM ni corrupt this much, hakuna hata 1/3 ya wajumbe wenye MUNGU?

  Nachelea kusema kama ni kweli, Mh. anafaa kuwa kiongozi wa nchi kwani ana mipango na mikakati anayoweza kutekeleza na ana mtandao ambao ni very effective in taking and implementing orders. Pili Mh. atakuwa ana akili nyingi kuliko wana CCM wote hivyo is the best in the pool of CCM.

  In other hand nataka kuaminikuwa madai hayo ya rushwa hayamhusu bali kwa sababu 'amechafuliwa' basi kila tuhuma ya Rushwa anatupiwa yeye.

  Naomba mtazamo wenu wan JF. Nawakilisha
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sio kweli bwana, yeye anao wenzake na inawezekana ndio wabaya kumshinda hata yeye, lakini imekua bahati mbaya kwake
  kuangukia kuwa mbuzi wa kafara!!!
   
 3. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  jamaa alikuwa na kashfa ya ufisadi na kama vipi jamaa alikuwa anatakiwa astaafu kugombea uongozi. CCM - tulindane. tubebane, tuibe, tuongope, tukandamize watu: sera ya kisiri ya ccm.
   
Loading...