RPC Singida fanya kazi acha siasa katika utendaji

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, umekua mno Mwanasiasa, sio mkweli, mjanja mjanja.

Ukiulizwa Jambo lililotokea katika ofisi yako au Mkoa wako unatoa taarifa kinyume na kilivyo. Askari wa kike (WP Colleta) amepigwa vibaya mpaka akazimia na Mkuu wa Kikuto Msaidizi Ass.

Inspekta Enea, ndani ya Kituo cha Polisi cha Singida, eti kwa kuwa alimruhusu Juliana Nassary (mdogo wa Joshua Nassary) kumsalimia ndugu yao WP. Jackline aliyekuwa Lock up, hapo Kituoni. WP Colletta anapata matibabu Hospitali ya Mkoa wa Singida. Tatizo ni nini kwanini unapoulizwa unaficha habari?

Je huyu WP alopigwa akifariki utatoa taarifa zipi? Ustaaarabu.....................
 
Huyu naye tutajua tu mambo yake kama tulivyojua ya yule mwenzake wa mwanza aliyetangulia kwa mnyazi mngu.

:biggrin1::biggrin1::A S thumbs_up: huyo mama wa singida si ndio alikua airport dar akawa ana kwamisha dili za "wakubwa"? akatengenezewa zengwe mbaka wakamtupa jangwani..atakua ana stress za dunia af mtoa mada MADORO anaonekana ni koplo wa hapo kituoni..haiwezekani aandike namna hii maana kimsingi haeleweki! ana taja taja majina tu..
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom