Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanzania Mpya, Oct 25, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Wapo radio wasema kuna mtoto huko Pemba kakojolea msaafu na akamvesha mbwa tasbihi shingoni!
   
 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hajageuka kuwa mjusi? Wachome misikiti sasa
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha watamuua au?
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!!1 Nasubiri kuchomwe misikiti na waislam wenyewe!!! Wakristu wala hata mkojolee Biblia au kuvalisha mbwa rozari but amani iko pale pale. Sana sana wanakuombea Mungu akupe msamaha wa kweli!!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Utasikia mtoto ana element za kigalatia
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ahaaa! Wapo radio, nangoja nisikie kwenye vyombo vyengine vya habari, hiyo radio siiamini hata kidogo.

  Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Ngoja sasa tusubirie majibu toka kwa UAMUSHO
   
 8. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nasubiri kuona katika TVZ
   
 9. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  tusubiri matamko au maandamano kesho...hawawezi choma misikiti kwani hakuna sadaka na vitu vya thamani vya kupora huko...
   
 10. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Baada ya kumvisha mbwa tasbihi akamchukua na kumpakatisha mama yake.
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,317
  Likes Received: 5,610
  Trophy Points: 280
  Tuone wamuue kwa kumkata shingo!ama la watageuza stori isomeke vingine!ni ukosefu wa fikra na ajira kwa vijana wengi pande zile
   
 12. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Anaitwa Faarid, na alifikishwa maakamani leo.
   
 13. Amalinze

  Amalinze JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 6,479
  Likes Received: 3,103
  Trophy Points: 280
  Du sasa mbona kila siku mambo mapya?
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mwislamu ni mwislam tu, Mungu awape mwanga waone ukweli
   
 15. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Hakuna habari a maendeleo, stori zimekuwa hizi hizi jamani. Watakojolea ngapi na hadi lini?
   
 16. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Una maana gani mkuu??
   
 17. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Kijana wa kiislam aliyejulikana kwa jina moja la Farid amefikishwa mahakamani baada ya kukojolea quran na kumvisha paka tasbihi.
  Source: wapo radio

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 18. c

  cazola New Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikiliza Radio wapo asubuhi hii kuna habari zinasema kuna kijana amekojolea kurani na sasa polisi wanamshikilia, kuepika hasira za jamii iliyomzunguka.
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Wandamane sasa...
   
 20. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mhm!Hivi hizi habari hazipikwi kweli?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...