IGP Mwema afunga barabara za Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP Mwema afunga barabara za Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raymg, Oct 25, 2012.

 1. r

  raymg JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika kile ambacho ckutaraji kukiona na cjawahi kuona hata kama Rais akipita kufungwa kwa barabara ya kutoka mjini kwenda Airport kwa takriban nusu saa ili kupisha mkuu wa police kupita na msafara wake
  Hii imesababisha adha kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo!
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Huwa ma RPC wana complicate sana hasa wakipokea wakuu wao toka Makao Makuu,ni uoga wao tu na kutojiamini ukizingatia tukio la Marehemu Barlow,mbona huku Dar Mkuu wa Majeshi na IGP wanapita sawa na wengine tu ila tu hawasimami foleni...ila si kufunga njia nzima...!
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa mnataka mumpige risasi kama rpc? tahadhari kabla ya hatariiii....
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tumuite IGP, labda alikuwa anaogopa polisi jamii na risasi za shingo, maana Mwanza ni kiboko kwa polisi jamii especially wakigundua kuwa umehusika katika UZINZI SHIRIKISHI
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  jamani si wajua aliyepo anakaimu, watamfikiriaje kama hawajibiki? na kuwajibika hapa Tz ni kujikomba kwa wakubwa zako
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  agp ndo nani?
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Utukufu wa wapumbavu siku zote hauna mizani. Kila mtu kwenye nchi ya majuha ni mkubwa na wanashindana kwa ukubwa huku wakiwakanyaga wadogo. Mbona kabla hayawa PIG au IGP alikuwa akipita bila hata kujulikana? Ulimbukeni mwingine ni hatari. Huenda naye ni rais wa jeshi la polisi. Who knows katika nchi isiyo na mwenyewe?
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  asante sana upo sawa kabisa
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ha ha ha duh e banaeee
   
 10. r

  raymg JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  IGP sorr.......inaboa sana, kiongonz anaogopwa zaid ya Mungu?
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  askari generali polisi te te te te
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nchi haina kiongozi mkuu kila mtu anajipa madaraka
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  dah, me mwenyewe nimekaa barabarani takribani 45 minutes! kha ulibore sana. . .
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Kweli uzinzi shirikishi....
   
 15. p

  pilau JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ........ jamani huyo ni IGP kwani hujui maana yake....
   
 16. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  kabla hajawa pig ?? akikujua lazima kitu kizito kitue kichwani kwako.
   
 17. r

  raymg JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we unayejua anatakiwa kufunga barabara?......tunakolekea hadi mkuu wa wilaya atafunga barabara pia na misafara ya magar
   
 18. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kiongozi wa wauaji wa raia wasio na hatia alikua anapita na kusababisha usumbufu mkubwa muuaji huyu anaitwa IGP nasikitika wale watetezi wetu wazee wa za shingo walikua mbali!!!Vinginevyo tungetangaza tukio takatifu la kulimaliza jambazi hili kongwe....Mungu mlaze mahali pema Mwangosi watie nguvu watz walipe kisasi kwa damu kama ile ya mwaangosi:fish:
   
 19. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  PIG si tusi bali Police Inspector General. Nchini Nigeria hawana IGP bali PIG. Atakuwa ananionea ingawa hana ubavu wa kuface jitu kama mimi. Amuulize mwenzake Barlow.
   
 20. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Huu mwingine ni unafiki sijaona popote palipoandikwa AGP na jamaa kaomba msamaha kwa kosa asilotenda,haya sawasawa.
   
Loading...