Gazeti la Raia Mwema laadimika mjini Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Raia Mwema laadimika mjini Arusha.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongo, Oct 26, 2012.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Gazeti la Raia mwema linalotoka mara moja kwa wiki [Jumatano] limekuwa adimu kama madini ya Tanzanite hapa mjini Arusha.Taarifa nilizojaribu kudodosa toka kwa wauza magazeti zinabainisha kwamba uhaba wa gazeti hilo unatokana na story iliyobeba ikimnanga mmoja wa vigogo wa siasa toka kanda ya kaskazini mwenye tamaa ya kukalia kiti cha magogoni.

  Mwenye nakala ya Raia mwema tafadhali atumwagie hapa jamvini.
   
 2. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  hapo lowassa ameshaweka nguvu zake!!!
   
Loading...