Watumishi wa serikali wengi ni wanafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi wa serikali wengi ni wanafiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBE, Oct 25, 2012.

 1. K

  KIBE JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utakuta mtumishi wa serikali yuko ofisini ndo kila wa kuichamba serikali akiwa kwenye ofisi hiyohiyo ya serikali ... Et serikali imechoka haifanyika ,mafisadi ni wengi, bora kwenda kufanya mambo yako binafsi kwa kutumia muda wa kazi, sijui rais jk kashindwa kazi etc... Hvi wewe mtumishi si part ya serikali si ndo wewe mmoja wa wanaofanya serikali isitekeleze majukumu yake vyema ..mbaya wanawaza piga ela tu za rushwa...
  Mwisho wa mwenzi hao hao wanafiki ndo wakwanza kwenda kwenye atm kuangalia kama salary ya jk imeingia au la..
  Watumishi wa umma tuache unafiki na porojo maofisini tufanye kazi tulizoajiriwa ..y private co. Wanafanya kazi kwa bidi lakini watumishi wa umma wamebaki kuwa wanasiasa.
   
 2. msombwe

  msombwe Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ya kweli? mbona wakigoma kudai vitendea kazi hatuwaungu mkono! walimu waligoma, madaktari pia lakini wananchi ndo kwanza tulikuwa tunarumbana wengi wetu tukiwaona wanakosea kugoma. Huko afisi za serikali hata karatasi hakuna utaacha vipi kupiga stori kweli? Afisa maliasili wilaya hana hata pikipiki na ikiwepo haina mafuta, unataka akafanye doria kwa kutumia msahara wake?
   
 3. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,799
  Trophy Points: 280
  are you serious kuwa zile ni fedha za JK? ni za wananchi walipa kodi na yeye jk ni manyakazi kama wengine ila kwenye payroll yeye ni namba moja.
   
 4. s

  salehe Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2008
  Messages: 83
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 15
  aliye andika sio mtumishi wa serikali, ungekuwa serikalini usingesema hayo!! kuna watu wanapiga hela we acha kabisa halafu mishahara yao ni mikubwa lakini watu wa chini wanavyokandamiza pia mishahara ni midogo na hawajui shida zao so, inabidi watafute kwa namna hiyo. usishangae hata chama tawala kinalifahamu hilo ndio maana hawawezi kufanya chochote ukweli upo wazi
   
 5. 53930

  53930 Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kuna watu wengine huku kwenye mtandao nahisi nima-spy. Uliyeandika hii mada umetumwa na pia nakuhakikishia kwa Jina la Yesu na Ushindwe. Mfanyakazi yupi wa serikali kwa sasa mwenye moyo wa kufanya kazi???? Na atakuwaje na moyo wakati kila anachojitaidi ili kuendeleza nchi yake ananyamazishwa.. MADAKTARI ILIKUWAJE??? WAALIMU IKAWAJE?? TRL ILIKUWAJE???? Achilia mbali walioamua kufa na ukimya wao bila kugoma kama MALECTURER, MANESI, MAASKARI POLISI. na wengine ambao waliamua kupiga kimya lkn moyoni wanaumia. Kazi ya watu wengine ni kujadili utendaji mbaya ambao chanzo chake ni kuwanyanyasa wafanyakazi. Anyway km kawaida tusubiri February next year tuanze kuyajadili matokeo ya FORM FOUR. Na watu km uliyetoa mada utachangia sana kuhusu hayo matokeo. UBARIKIWE
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  mwandishi naomba nikusahihshe hapo kwenye ''salary ya J.K'' ..hyo pesa si ya J.K bali ni kodi za watanzania.
   
 7. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  jk hana hela hizo ni zetu hujui mshahara ni haki ya mfanyakazi fahamu kuwawalipakodi wanaolipa kwa uhakika niwafanyakazi.wakae kimya wakati mambo hayaendi.si kweli
   
 8. k

  kehesa maro Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mada ni nzuri,hata ambao hutajingia kwenye ajira tunaliona hilo,vitendea kazi wamechukua hatua gani ya msingi ya kudai.
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  we kibe ndo mnafiki namba moja...au nyie ndo wale mabosi mnaoitwa wakurugenzi mnaopewa gari za serikali na kuwekewa mafuta na dereva full time na kulipwa allowence za nyumba, simu na umeme na mishahara minono na mmekaa ofisini bure hakuna mnachofanya maana kazi zote zinafanywa na walio chini yenu wenye kulipwa TGSD. Think kama unaipenda sana serikali we endelea lakini usilazimishe wengine kuisifia for nothing. Ndo nyie nyie ambao OC zikiingia kila mwezi mnahakikisha malipo na stahili zenu zimelipwa kwanza before anything else no matter how small the amount came from the treasury...you are selfish creatures there to make others work so that your positions could not be compromised. If you have the guts tell the government to pay employees decent salaries
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Halafu just to correct you pesa si za jk for God's sake its our damn money...this makes me think that u are a type of a person ambaye whatever the position you have in the office now you got it accidentally n since you urself didnt expect to have such a position..you are still in shock n probably the only way you can show your appreciation is by defending the government....coz it favors you..it took you from the hole you were in n now you are called someone
   
Loading...