Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

There have been rumours for months now that Kimora Lee and Dijmon Hounsou's five year relationship has ended. Well, the rumours are true. Kimora Lee just confirmed it on her Twitter page...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejitahidi kuangalia kwa kina knowledge mbalimbali za hapa under the sun nikaconclude kwamba knowledge ambazo ni mandatory kuwa nazo bila ya kujali wewe una elimu gani au huna elimu ni hz hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana tarehe 20/11/2012 kulikuwa na tatizo kubwa la kivuko kutokana na kivuko kikubwa kuharibika, magari yalikuwa hayavuki na idadi kubwa ya watu waendao na wanaorudi kigamboni ndio ilikuwa hatari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tumechoka Kuongopewa Tuseme Ukweli hivi ni Mke wa kiongozi gani mtawala wa nchi hii atampandisha mkewe kwenye AMBULANCIA HII??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
.....kama ndio hivyo basi hizo KURA za wafanyakazi sizitaki...... Na ilikuwa ni siku chache kabla ya uchaguzi wa raisi....matokeo alishinda uraisi.....
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ubabaishaji kila sehemu.. 1. Kuna mzaiwa ya kopo miaka ya 1995 yalisambazwa sana madukani watoto wetu wakayanywa mwaka 2000, wakasema maziwa yale yanasumu 2. Juzi arv bandia 3. Miaka ya 2008...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shamba hili lilianzishwa miaka 31 iliyopita huko nchini Marekani wakati Dk. William Bass alipokuwa akitafuta namna ya kuchunguza mwili wa mtu baada ya kufa. Mnamo mwaka 1981, Daktari huyu...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
RAIS Jakaya Kikwete, jana amepokea hundi ya sh. bilioni nane kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na kuikabidhi katika Hospitali ya CCBRT, ili kufanikisha ujenzi wa Hospitali mpya ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumeibuka genge la vibaka na mateja wanaiba vifaa vya magari huku likiwa kwenye mwendo.Wanaiba taa za magari,side mirror,taa,na vifaa vingine pamoja na Urembo wa magari.Hawa jamaa wako fasta sana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Eliasa Ally, Iringa MAPADRI waliovamiwa usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita na majambazi sita waliokuwa na silaha katika Parokia ya Isimani, jimbo la Isimani Halmashauri ya Iringa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kama unafuatilia maswala yoyotye katika ofisi za serikari ukipambana na neno hilo ujue hapo usumbufu na ucheleweshaji unaanza na linapelekea mianya ya kukosa uadilifu kwa watendaji wa serikari na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepokea taarifa hivi punde kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari kule kagera,kwamba mwandishi wa habari kutoka dar ansbert ngurumo ameingilia mchakato wa viongozi wa CHADEMA mkoani kuchagua...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Juzi ndugu yangu alipata ajali ya Pikipiki huko Kigamboni, akapelekwa Hospitali ya Vijibweni, huko wakamhamishia Temeke hospital, alipofikishwa Temeke na Ambulance hapakuwa na jipya zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya umeme vyenye uhakika pamoja na bei zake kuna hizi maiswichi za AVETA zina saketi breka je ni imara, waya zipi ni nzuri mwenye kujua anijuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua picha zinazopigwa kwa walimu bila maelezo ni za nini? Huku wilayani Mufindi leo ni siku ya tatu TASAF wanapiga picha bila maelezo. Mimi sijapigwa maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jury-rigged mobile office can’t keep driver from being caught speeding Distracted drivers existed well before the advent of cellphones, and will likely exist long after such devices are shrunk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
University of Dar es Salaam Academic Staff Association almaarufu kama UDASA si chama cha wafanyakazi. Ni mkusanyiko tu wanazuoni wahadhiri ambao 'hutetea' maslahi hasa ya wahadhiri UDSM. Zipo enzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa ndani ya gari nikisafiri kuelekea Dumila, tulipofika maeneo ya Mkundi alfajiri ya leo hii tumeshuhudia maiti tatu zikiwa zimesambaa barabarani. Miili hii iliyoharibika vibaya kiasi cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbukeni Wantanzania wanyapori ni kiporo chetu cha mwisho kilicho baki bila kujali udini wetu, ukabila wetu, umasikini wetu, itikadi zetu na hata upagani wetu mkikubali na hiki wakiangamize basi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…