Knowledge muhimu kuwa nazo kwa mpigo

T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Points
1,250
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 1,250
Nimejitahidi kuangalia kwa kina knowledge mbalimbali za hapa under the sun
nikaconclude kwamba knowledge ambazo ni mandatory kuwa nazo bila ya kujali
wewe una elimu gani au huna elimu ni hz hapa:

1........HISTORY, just general history of the world or of the matter
2........ECONOMY as related to business matters
3........LAW at its governs the society as a whole

Zote hz unapaswa kuwa knowledgeable sina maana ya kwenda shule
na kuchukua gamba la history ama economy ama law kwa kila,
but i mean a person should be knowlegeable about these three
exactly at the same time
 
R

Rukiko

Senior Member
Joined
May 5, 2009
Messages
197
Points
195
R

Rukiko

Senior Member
Joined May 5, 2009
197 195
wewe kwani umesomea nini?, ili tuweze kukuelewa zaidi ulichokuwa ukimaanisha,
usije kwa kuwa unajuajua kidogo history ukapigia debe.....history tena..

Nimejitahidi kuangalia kwa kina knowledge mbalimbali za hapa under the sun
nikaconclude kwamba knowledge ambazo ni mandatory kuwa nazo bila ya kujali
wewe una elimu gani au huna elimu ni hz hapa:

1........HISTORY, just general history of the world or of the matter
2........ECONOMY as related to business matters
3........LAW at its governs the society as a whole

Zote hz unapaswa kuwa knowledgeable sina maana ya kwenda shule
na kuchukua gamba la history ama economy ama law kwa kila,
but i mean a person should be knowlegeable about these three
exactly at the same time
 
Forum statistics

Threads 1,285,652
Members 494,728
Posts 30,869,508
Top