Jana tarehe 20/11/2012 kulikuwa na tatizo kubwa la kivuko kutokana na kivuko kikubwa kuharibika, magari yalikuwa hayavuki na idadi kubwa ya watu waendao na wanaorudi kigamboni ndio ilikuwa hatari kubwa kutokana na kugombea kivuko kimoja kidogo wakati mwingine kivuko kushindwa kuondoka hadi watu wapunguzwe.
Pamoja na kuwepo na mpango wa ujenzi wa daraja bado upo umuhimu wa kuongeza vivuko kwa kuondoa adha ambayo wanapata wakazi wa kigamboni ambao sasa wameongezeka.
tusisubiri maafa yatokee ndio ziundwe tume za kuchunguza maafa na kununua kivuko. pesa nyingi inapatikana kutokana na vivuko vilivyoko