Tusidanganyane Hapo hatujatoa Msaada kwa wananchi

MkoPoKa

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
363
250
Ambulancia.jpg 2012-03-27 09.12.15.jpg

Tumechoka Kuongopewa

Tuseme Ukweli hivi ni Mke wa kiongozi gani mtawala wa nchi hii atampandisha mkewe kwenye AMBULANCIA HII??
 

Bahati Risiki

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
530
0
Umewaona wakitibiwa hapa Tanzania kwanza? Hospitali zao si ziko India, Ujerumani na Marekani? Itafika siku tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom