Chadema: Madiwani kuhudhuria uzinduzi wa jiji la arusha hilo nalo tatizo??


K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
BINAFSI NAPATA TABU NA HIKI CHAMA WANACHOSEMA PENDWA... DR.SLAA KAKOMA NA KUTOA ONYO KALI IKIGUNDULIKA MADIWANI WAKE 7 WALIHUDHURIA UZINDUZI WA JIJI HILO WATAKUMBANA NA ADHABU KALI... SASA NAULIZA CDM KWANI MADIWANI KUHUDHURIA HIZO SHEREHE TATIZO LIKO WAPI... LINAENDANAJE NA KUTOMTAMBUA MEYA WA JIJI LA ARUSHA???.... HIVI CDM MNATAKA WATUMIKIA WANANCHI GANI WA TZ??? ... JAMBO LA ARUSHA KUWA JIJI SI JAMBO JEMA KWA WANANCHI WATZ NA ARUSHA KWA UJUMLA???

CDM HEBU BADILIKE SI KILA KITU NONGWA NONGWA NONGWA SASA KITAKUWA CHAMA GANI CHA SIASI HIKI

"Hatua ya Dk. Slaa kuwahoji madiwani hao imekuja siku chache baada ya madiwani wa CCM, TLP na Chadema jijini Arusha kushiriki mchakato wa uzinduzi wa Jiji hilo.

Hatua hiyo imeibua gumzo jijini hapa ikikumbukwa kwamba Chadema kiliweka msimamo wa kutomtatabua Meya wa Jiji la Arusha.


Baadhi ya madiwani wa Chadema walioshiriki mchakato wa uzinduzi wa Jiji hilo hivi karibuni, waliongozwa na Diwani wa Kata ya Levolosi, Efatha Nanyaro, ambaye alichaguliwa kuwa Katibu wa moja ya kamati za maandalizi huku mwenyekiti wake akiwa Diwani wa Kata ya Moshono, Paul Matyhsen (CCM)."


 
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,867
Likes
931
Points
280
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,867 931 280
Dr. slaa aache ubabe usiokuwa na mbele wala nyuma muda mwingine wanakipoteza chama kwa kumsikiliza lema kwa kila anachokisema, waachwe madiwani wapumue wawatumikie wananchi waliowachagua.
 

Forum statistics

Threads 1,236,477
Members 475,125
Posts 29,259,312