Hivi tutafika?

Hivi tutafika?

Garincha

Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
7
Reaction score
1
Hali ya maisha hapa nchini hubadilika day to day,kiukweli hali ni ngumu.na ukiangalia viongozi we2 wanasema hali ya ugumu wa maisha imepungua kwa kiac kikubwa.so wapi tunaenda?
 
Tutafika lakini tutakuwa tumechoka sana Kamanda wangu Garincha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom