Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!

- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
 
Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Messages
4,624
Points
2,000

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined May 18, 2007
4,624 2,000
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!

- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

Le Mutuz!!
Kwa bajeti ya Shilingi ngapi za walipa kodi wa Tanzania?

Hao akina rejao, zomba, chama, ritz n.k ambao masaa 15 kwa siku wapo humu mtandaoni mnawalipa kwa saa au kwa mwezi au kwa post?
 
W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Kigumu chama cha mapinduzi!
Ila sasa baba, usifurahie sasa tu. Uchaguzi ujao muingie na kwenye midahalo ya kwenye tv pia kunadi sera, sio mnakimbia kimbia. Anzeni kabisa kupeana simbi na madesa manake 2015 sio mbali, kuna slow learners.
- Ahsante sana, ila ndugu yangu dalili za mvua huwa ni mawingu, uchaguzi wa udiwani majuzi ni ujumbe tosha kuhusu what to expect 2015 the budern is on the otherside sio kwetu CCM tena!!

Le Mutuz!!
 
Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2007
Messages
4,826
Points
2,000

Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2007
4,826 2,000
Hivi Kaka William,

Unajua kwamba chama chetu kimesha meguka ndani kwa ndani siku nyingi na tuna vyama zaidi ya viwili kimtazamo na kimalengo ndani ya CCM? Kinacho kosekana ni usajili wa tendwa; Isitoshe, viongozi wengi ndani ya CCM hawafanya kazi tena kwa mapenzi ya CCM, na hii ni hatari kwani wanasukumwa zaidi na UWOGA, UBINAFSI na UNAFIKI, masuala ambayo mwalimu aliyajadili sana jinsi gani ni tishio kwa uhai wa Chama;

Mimi ni Mwana CCM lakini kwa akili zangu timamu, naelewa kwamba kwa sasa CCM bado ni moja kwa sababu ya System tu, hakuna lingine; Chama kinacholindwa na system ni chama dhaifu;

Ni muhimu tukai sambaratisha CCM sasahivi kama nia yetu ni kuijenga upya, kuliko kusubiri kuja kusambaratishwa na Upinzani, kwani siku hiyo haipo mbali;

Hoja yako ya kutetea Chama chenye kansa ya kiungo ni hoja mfu kwani unachofanya ni kutetea na kuwa mtiifu kwa chama kwa mujibu wa katiba, sio kwa mujibu wa uhalisia wa soko la Siasa; Kaka, Kansa imesha sambaa, tukate tu hicho kiungo na tuanze maisha mapya;
 
platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,543
Points
2,000

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,543 2,000
- ha! ha! ha! ha! Especially mke anapokuwa 30 na Mume 70! ha! ha! ha! ha! yaani gap ya 40 years!!

Le Mutuz!!
Ndio maana nikapoint out umri, na ndivyo ilivyotokea...........Mawazo yako yoote unadhani mimi CDM. Si mwanachama wala shabiki wa chama chochote.

Na bado narudia nilichoandika: "Honestly kuna tofauti kubwa sana kati ya umri na uelewa"
Tafakari.
Jaribu kutafakari kabla ya kuandika
 
Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1,451
Points
1,170

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
1,451 1,170
- Ahsante sana, ila ndugu yangu dalili za mvua huwa ni mawingu, uchaguzi wa udiwani majuzi ni ujumbe tosha kuhusu what to expect 2015 the budern is on the otherside sio kwetu CCM tena!!

Le Mutuz!!
Jitahidi kutengeneza hoja kama mwana siasa kwani ukiingia kwenye culculation kwenye uchaguzi huo unaosema ni nani winner na ni nani ame lost?
 
Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,698
Points
1,195

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,698 1,195
- Ahsante sana, ila ndugu yangu dalili za mvua huwa ni mawingu, uchaguzi wa udiwani majuzi ni ujumbe tosha kuhusu what to expect 2015 the budern is on the otherside sio kwetu CCM tena!!

Le Mutuz!!
kwa wale watu wa takwimu mtusaidie uchaguzi wa madiwani uliopita kati ya chadema na Magamba nani mshindi,yupi amepanda na yupi ameporomoka kwa kuzingatia wingi wa kura kwa jumla yake,yupi kaongeza kata na yupi kapoteza,kama wewe ni kilaza kuna thread moja ya mzee mwanakijiji itakupa majibu,siyo unaangalia wingi wa viti tu,fanya tathmini ndio utajua CCM imekubaliwa au imekataliwa.sio kuropoka tu hapa jamvini.
 
UPIU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Messages
602
Points
0

UPIU

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2012
602 0
Hivi Kaka William,

Unajua kwamba chama chetu kimesha meguka ndani kwa ndani siku nyingi na
tuna vyama zaidi ya viwili kimtazamo na kimalengo ndani ya CCM? Kinacho
kosekana ni usajili wa tendwa; Isitoshe, viongozi wengi ndani ya CCM
hawafanya kazi tena kwa mapenzi ya CCM, na hii ni hatari kwani
wanasukumwa zaidi na UWOGA, UBINAFSI na UNAFIKI, masuala ambayo mwalimu
aliyajadili sana jinsi gani ni tishio kwa uhai wa Chama;

Mimi ni Mwana CCM lakini kwa akili zangu timamu, naelewa kwamba kwa sasa
CCM bado ni moja kwa sababu ya System tu, hakuna lingine; Chama
kinacholindwa na system ni chama dhaifu;

Ni muhimu tukai sambaratisha CCM sasahivi kama nia yetu ni kuijenga
upya, kuliko kusubiri kuja kusambaratishwa na Upinzani, kwani siku hiyo
haipo mbali;

Hoja yako ya kutetea Chama chenye kansa ya kiungo ni hoja mfu kwani
unachofanya ni kutetea na kuwa mtiifu kwa chama kwa mujibu wa katiba,
sio kwa mujibu wa uhalisia wa soko la Siasa; Kaka, Kansa imesha sambaa,
tukate tu hicho kiungo na tuanze maisha mapya;
Mkuu naomba uendelee kutunza heshima yako mijadala kama hii ni too low for u. ur a GT
 
RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
744
Points
0

RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
744 0
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!

- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

Le Mutuz!!
In CCM we trust!!!
 
UPIU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Messages
602
Points
0

UPIU

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2012
602 0
kwa wale watu wa takwimu
mtusaidie uchaguzi wa madiwani uliopita kati ya chadema na Magamba nani
mshindi,yupi amepanda na yupi ameporomoka kwa kuzingatia wingi wa kura
kwa jumla yake,yupi kaongeza kata na yupi kapoteza,kama wewe ni kilaza
kuna thread moja ya mzee mwanakijiji itakupa majibu,siyo unaangalia
wingi wa viti tu,fanya tathmini ndio utajua CCM imekubaliwa au
imekataliwa.sio kuropoka tu hapa jamvini.
mpira si chenga bali magoli, na uchaguzi autizami tu ongezeko la kura bali viti, kati ya 29 mnashinda 5, halafu mnajisifia?
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,390,175
Members 528,115
Posts 34,044,742
Top