Mjanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,238
- 325
kauli hizi za wasemaji wa Polisi au wakuu wa Polisi Mikoa (RPCs) zimekuwa zikinipa utata mkubwa!
utasikia: usiku wa kuamkia leo.. polisi walipambana na Watu wanaosadikiwa kuwa Majambazi
na vijana wetu walifanikiwa kuwajeruhi watatu na wengine wawaili walifanikiwa kutoroka baada ya kurushiana
risasi na askari wetu. bahati mbaya majeruhi wote watatu walipoteza maisha wakati wanakimbizwa
hospitalini (kama ilivyotokea Arusha 21/11/2012). ni mara nyingi nasikia kauli hizi!
Maswali Yangu:
inakuwaje watu watatu au zaidi wafe wote?
na kwanini majeruhi hawa wa polisi wawe ni wa kufa kila siku?
je kuna hujuma ndani yake?
je ile haki ya kuishi inazingatiwa na jeshi la polisi?
je ni kweli kwamba kila mtuhumiwa wa ujambazi anastahili kifo akiwa mikononi mwa polisi?