William Malechela karibu sana chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William Malechela karibu sana chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 24, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  ni kazi sana kuitetea ccm ama kuwa ccm hapa Tanzania ..mtu unapata shida sana kila sehemu ..huyu Willie nawapa miezi miwili lazima ajivue gamba ..karibu sana chadema jisikie uko nyumbani..
  Malecela WJ Blog: PEOPLES POWER! M4CEEE!
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ...labda abadilike tabia ndio tutamkaribisha CDM vinginevyo abaki huko huko magamba.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  pole yenu chadema
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  haaaha bubu naona unampiga pini...mwache aje tu manake kwao hakubaliki sijui atakimbilia wapi akikataliwa na huku
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Mkuu SI si umemsoma hapa jamvini? Kama umemsoma hapa jamvini basi nadhani unanielewa ....ni bora abaki kule kwa magamba...CDM hatumhitaji kabisaaaaa...labda tutamfikiria akiwa tayari kubadilika.
   
 6. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Atachishwa Radhi akifanya hivyo
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Bila kubadilika atakuwa ni mzigo zaidi ya Shibuda
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ....Shibuda ni cha mtoto Mkuu
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Hivi ya Shibuda hujayachoka wewe ndani ya Chama?!, unataka na huyo another Shibuda aingie ndani ya Chama...!!
   
 10. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Halafu sijui ni kalogwa ,hashauriki kabisa .Sasa sijui atakuwa kiongozi wa aina gani maana yy kila jambo analolifanya yupo perfect hataki kukosolewa hata siku moja. Mungu ampe nguvu na woga wa kutoingia CDM kwa maslahi ya nchi.
   
 11. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa hafai kuwa CDM ana character kama za Shibuda hivi, atakigharimu chama.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Malizia 'in advance'
  Ila huyu hata akibadilikaje anatakiwa abaki ccm ili awape changamoto, I mean you know anapenda maslahi yetu
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo mchukuweni haraka sana.
   
 14. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  siku hizi CDM imekuwa kama Jalala linalotupiwa takataka???
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Ukimya unamaanisha NDIYO,
  Nahisi jamaa kakubali!!
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kwa anavyomnanga Mbowe.....sijui
   
 17. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ribosome,
  Hii kauli yako ni ya Sungura mjanja aliyesema ' Sizitaki mbichi hizi'. Si useme tu kuwa usingependa aende Chadema?
   
 18. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  cdm mkianza kuokota hadi wagonjwa wa akili,hicho chama kitakufa muda si mrefu.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hapana bwanaa! Huyo ni wa kwenu, kwa roho safi! For once, naheshimu mawazo na mtazamo wake
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Huyu hata kwa ''mkopo'' asichukuliwe.........binafsi namwona ni ''big-mouthed-small-time Charlie whio thinks that he is as tough as Humphrey Bogart''
   
Loading...