Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari wakuu, kuna gari nataka kuiagiza, ni toyota allex ya mwaka 2001, na ni cc 1500. CIF price kuja bandari ya dar ni USD 3750!! Je nitalazimika kulipia kiasi gani kama tax na gharama nyingine...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana JF leo nimefikasha mwaka mmoja na siku tisa tangu mke wangu mpendwa amefariki.namshukuru mungu kwa kuniweka salama mpaka sasa.RIP mkewangu.amina.
0 Reactions
3 Replies
968 Views
VIJANA NA ULIMBUKENI; Kitu ambacho kinaonekana wazi kwa sasa kwa Vijana wenzangu kwanza hatujitambui, hatujielewi, hatujui tulipotoka, tulipo na tunapopaswa kwenda. Lakini matatizo yote hayo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nasikiliza na kuangalia ITV Prof Gaudens Mpangala kasema Ilani ya chama isitumike kuendesha shughuli za serikari. mnasemaje wana JF
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo wana jamii, Naomba msaada wenu juu ya kuandaa muswada(proposal) kwa ajili ya kuandaa kipindi ambacho kitarushwa katika televisheni. Pia mambo ya muhimu ya kuzingatia katika hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Angalia wanaume dizaini hizi 1 suruali nusu mlingoti 2 nywele kaweka dawa kama mwanamke 3 amesuka kama mwanamke 4 akitembea kama kalemewa na begi la primary 5 analamba mkorogo full carolite...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Weka Ndoto ya Maisha yako hapa. Mi nataka kuwa Mfanya Biashara Mkubwa kama Biligeti..Je wewe unataka kuwa kama Nani?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Katika sherehe za miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika mwaka jana, pamoja na vitu vingi vilivyofanyika siku ile kitu kilichonifurahisha zaidi ni ile Alaiki ya watoto. Walifanya michezo mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti jamani hivi watu wenye ngozi nyeusi(esp sisi waafrika) tuna IQ (Inteligence quotient)(kipimo cha akili ama werevu kwa binadamu)sawa na wenzetu??..Unajua hua najiuliza wenzetu wana kitu gani...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hatimae kesi ya mauaji ya watoto waliokuwa wakisherehekea siku kuu ya Idd el Fitri mwaka 2008 katika kumbi za NSSF na Babbles Night Club manispaa ya Tabora ambapo watuhumiwa ni Shash na Vituko kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani huwa najiuliza hawa wanasiasa wanayoyafanya duniani ya kukandamiza watu na hadaa tele, wanapokufa wanakwenda wapi. Maana kwa shetani hawawezi kwenda, na yeye pamoja na kuwa ni mwovu, lakini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Senior Conservatives form gay marriage campaign group Boris Johnson and Michael Gove among Tories backing moves to allow same-sex weddings to be held in places of...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
hivi mnavyohisi tunasheherekea miaka 51 ya uhuru au miaka 51 ya maisha magumu.dondosha you'r opinion
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Salaamu sana wakuu,katika pitapita zangu hapa mwanza nimeshuhudia mitaa mbalimbali wameweka vibarazani kompyuta na wana buny cds wanajaza nyimbo kwenye flash,kali zaidi kuna mtaa flani lumumba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya Viongozi na mawaziri walisomeshwa bure na Mwalimu Nyerere. Mwalimu aliona umuhimu wa kupigana na adui Ujinga na elimu ndo ukombozi wa kiuchumi na kuleta maendeleo kwa taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sana Gazeti la Mwanahalisi halionekani, wanaJF naomba mnijulishe sakata la Gazeti hili limeishia wapi na tutarajie nini kuhusu hatima yake. Tumeona kuibuka magazeti ya wiki kama hilo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imekuwa jambo la kawaida kuona watu wakiyumba kwa umahiri barabarani wakipishana au kukwepa magari. Sababu kuu ni kwamba sehemu iliyotengwa kwa ajili yao imehodhiwa na wafanyabiashara. Manunguniko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Inasikitisha sana nchi hii imefikia wakati sasa mpaka matapeli wanataka kushika nchi hii....Huyu mtu ni hatari sana mwaka 2009 alikuja na thread yake ya kitapeli eti atawatafutia watu kazi majuu...
20 Reactions
134 Replies
11K Views
Usiku mwema mwenye kuumia na aumie mwenye kucheke karibu rosegarden tule raha na toc kila la kheri mzee wangu majungu ni mengi watenda kazi wachache
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimeteremka kituo cha Palm Beach, nikatoa nauli yangu kwa konda Tsh 2000/= Wakati nikisubiri change mbele yangu nawaona watu wawili wakiniangalia sana. Nikapokea change yangu na wakati...
9 Reactions
84 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…