msaada juu ya gharama za kulitoa gari hili bandarini!!

Song'ito

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
347
145
habari wakuu, kuna gari nataka kuiagiza, ni toyota allex ya mwaka 2001, na ni cc 1500. CIF price kuja bandari ya dar ni USD 3750!! Je nitalazimika kulipia kiasi gani kama tax na gharama nyingine za bandari?
naomba msaada wenu wakuu..
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,869
30,340
kwa ninavyojua mimi ni almost like twice that price.
mkuu Isaac Chikoma Unamaanisha bei anayotaka kununuwa huko anakotaka kuitowa na kuileta hapo nyumbani itakuwa ni sawa sawa na bei anayonunuwa toka huko nje kivipi hebu fafanuwa zaidi?

Songíto;5153231 said:
asante mkuu nimekupata!!
Mkuu Songíto Hiyo gari unaitowa toka wapi kuja hapa Tanzania?
 
Last edited by a moderator:

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
100
mkuu Isaac Chikoma Unamaanisha bei anayotaka kununuwa huko anakotaka kuitowa na kuileta hapo nyumbani itakuwa ni sawa sawa na bei anayonunuwa toka huko nje kivipi hebu fafanuwa zaidi?

Mkuu Songíto Hiyo gari unaitowa toka wapi kuja hapa Tanzania?

Kwa gari kama hiyo ukiacha bei ya kununulia aliyotaja hapo juu tax yake ni kama 4mil,nyinginezo kama laki5, dumping tax kwa vile ni ya zamani sheria hii imepitishwa juzi juzi tu na serikali 25% ya bei uliyonunulia. Ukijumlisha vyote inakuwa sawa tu na mara mbili ya bei ya kununulia,japokuwa inwezaakuwa chini kidogo ya hapo kama 10,11 mil.ukitaka tafuta gari ya mwaka 2005 kuendelea ili kukwepa hiyo dumping tax.
 
jcb

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
280
66
Songíto;5153134 said:
habari wakuu, kuna gari nataka kuiagiza, ni toyota allex ya mwaka 2001, na ni cc 1500. CIF price kuja bandari ya dar ni USD 3750!! Je nitalazimika kulipia kiasi gani kama tax na gharama nyingine za bandari?
naomba msaada wenu wakuu..

TRA Retail sailing Price ya Toyota Allex <= 2002 ni $ 35,660 Depreciation 80% Kodi yake itakuwa 4,973,404 + Registration & Other Charges itakutoka around T 4.4M Port charges itakauwa around Laki 2 Delivery order ni around 130,000
Andaa 4.9M Bado Agency Fee hapo itategemea na Clearing Agent uliye kubaliana naye kufanya kazi hiyo
 
Song'ito

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
347
145
TRA Retail sailing Price ya Toyota Allex <= 2002 ni $ 35,660 Depreciation 80% Kodi yake itakuwa 4,973,404 + Registration & Other Charges itakutoka around T 4.4M Port charges itakauwa around Laki 2 Delivery order ni around 130,000
Andaa 4.9M Bado Agency Fee hapo itategemea na Clearing Agent uliye kubaliana naye kufanya kazi hiyo

Aisii ninakushukuru sana tena sana mkuu ngoja nijipange kwa kiwango hicho
 
  • Thanks
Reactions: jcb

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,368
Songíto;5153231 said:
asante mkuu nimekupata!!

Mkuu kamaliza hapo juu ni almost twice ya CIF,fuata ushauri huo utakua on safe side.
 
Song'ito

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
347
145
Kwa gari kama hiyo ukiacha bei ya kununulia aliyotaja hapo juu tax yake ni kama 4mil,nyinginezo kama laki5, dumping tax kwa vile ni ya zamani sheria hii imepitishwa juzi juzi tu na serikali 25% ya bei uliyonunulia. Ukijumlisha vyote inakuwa sawa tu na mara mbili ya bei ya kununulia,japokuwa inwezaakuwa chini kidogo ya hapo kama 10,11 mil.ukitaka tafuta gari ya mwaka 2005 kuendelea ili kukwepa hiyo dumping tax.

Nimekusoma sana mkuu, asante kwa mchanganuo huo...
 
Song'ito

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
347
145
Na je wakuu, ni Clearing Agents wapi ambao wapo sharp na wanafanya kazi vizuri kwa bei nzuri pia? japo nikiwajua wawili au watatu ningefurahi na address zao
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,709
8,804
Kwa gari kama hiyo ukiacha bei ya kununulia aliyotaja hapo juu tax yake ni kama 4mil,nyinginezo kama laki5, dumping tax kwa vile ni ya zamani sheria hii imepitishwa juzi juzi tu na serikali 25% ya bei uliyonunulia. Ukijumlisha vyote inakuwa sawa tu na mara mbili ya bei ya kununulia,japokuwa inwezaakuwa chini kidogo ya hapo kama 10,11 mil.ukitaka tafuta gari ya mwaka 2005 kuendelea ili kukwepa hiyo dumping tax.

Ni 2005 au atafute ya 2004 ?
maana navyojua uchakavu ni miaka 10? au ile ya miaka nane bado wanaendelea nayo?
 
prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,329
188
Kama upo Dar es Salaam Nenda pale ccm mkoa mtaa wa Lumumba ofisi namba 113 first floor jamaa wapo vizuri kwa bei na haraka ya kutoa mzigo, wanaitwa uwanji general traders
Songíto;5155955 said:
Na je wakuu, ni Clearing Agents wapi ambao wapo sharp na wanafanya kazi vizuri kwa bei nzuri pia? japo nikiwajua wawili au watatu ningefurahi na address zao
 
Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,427
1,696
Kama upo Dar es Salaam Nenda pale ccm mkoa mtaa wa Lumumba ofisi namba 113 first floor jamaa wapo vizuri kwa bei na haraka ya kutoa mzigo, wanaitwa uwanji general traders

Lakini pia ujitayarishe kurusha ngumi maana yake wanakera sometimes ( yaani mawakala), Hata hivyo hongera kwa kununua gari
 
Song'ito

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
347
145
Kama upo Dar es Salaam Nenda pale ccm mkoa mtaa wa Lumumba ofisi namba 113 first floor jamaa wapo vizuri kwa bei na haraka ya kutoa mzigo, wanaitwa uwanji general traders

mkuu asante ssna nimekupata!! nitajaribu kuwaona hao pia..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom