Kumbukumbu

Kumbukumbu

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
514
Reaction score
90
Wana JF leo nimefikasha mwaka mmoja na siku tisa tangu mke wangu mpendwa amefariki.namshukuru mungu kwa kuniweka salama mpaka sasa.RIP mkewangu.amina.
 
pole ndugu, mungu aendelee kukupa faraja na wepesi
 
Mkuu pole sana, twamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza.
 
Back
Top Bottom