Vijana na ulimbukeni

KESSY FRANCIS

Member
Nov 9, 2011
42
11
VIJANA NA ULIMBUKENI;
Kitu ambacho kinaonekana wazi kwa sasa kwa Vijana wenzangu kwanza hatujitambui, hatujielewi, hatujui tulipotoka, tulipo na tunapopaswa kwenda. Lakini matatizo yote hayo yanatokana na kutoelimika vya kutosha, japokuwa TUNAMLUNDIKANO WA VYETI vya ngazi mbalimbali. Kila post Kijana anayotuma WANALALAMIKA, hata makongamano yanayoletwa na wahadhiri inatoa fursa kwa Vijana kulalama, kulaani, kushutumu watu waliokuwepo na waliopo madarakani!. Hii ni dalili mojawapo ya taifa linalotaka kuwa mfu. Vyama vya Siasa, wanataaluma, wanaharakati , viongozi wameungana na vijana wa taifa la Leo KULIA kana kwamba tumefika mahali hakuna anayeweza kufikiri NJIA MBADALA!! taifa hili ni muhimu kuliko VYAMA VYETU, MAKABILA, DINI ZETU na hata ELIMU ZETU!! mathalani leo tunajipongeza miaka 51 ya uhuru wa taifa la Tanganyika ambalo Leo hii alipo! Leo ilipaswa kuwa siku mahususi kwa VIJANA kujua kwanini watanganyika waliukata ukoloni? Wakataka kujitawala wenyewe YAPI YALIKUWA MALENGO, NDOTO ya wazee wetu, kwa nafasi Yao walifanya walioweza kufanya mpaka sasa. Walijipambanua kuwa Wanamaadui 3,( ujinga, maradhi, umaskini ) LEO ilikuwa ni kuwaeleza VIJANA kuwa tumefika wapi, na kuwapa MAJUKUMU mapya vijana kuwa BADO HATUJAPATA UHURU WA UCHUMI ambao ndio UHURU WA KWELI kwani ndio UHURU MAMA, uhuru wa kiuchumi ni lazima kwa asilimia kubwa UTAWALIWE NA WAZAWA, SERIKALI NA TAASISI zake! Kwani uhuru wa kiuchumi ndio unaoupa TAIFA LOLOTE LILE UHAI na UHALALI WA UTAWALA kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inauwezo wa kutoa HUDUMA BORA, kwa watu wake. Aidha kuipa serikali uwezo wa kulinda NCHI NA RASILIMALI ZAKE kwa ustawi wa umma.

RAI YANGU
ALLAH aliyetuumba kazi yake amekamilisha ya uumbaji, na uhai na afya bora,. Lakini hawezi kuja tena kutuchagulia cha kufanya kwa maendeleo yetu, kuishi Kama tulivyo au kuamua kwa kufa na kupona kuondoa matatizo yetu wenyewe, Mungu hajaumbia watu umaskini wala utajiri ni jitihada za wanadamu kupambana na mazingira.
KIJANA MWENZANGU UNGANA WA VIJANA WENZAKAO JUU YA UKOMBOZI WA KIUCHUMI
 
Mkuu hapo kwenye red ndo pa muhimu sana kwa serikali yoyote ile iliyo makini, tatizo kubwa tulilonalo sasa hivi sio kwamba wazee wetu hawatuelezi matatizo yanayoikabili nchi yetu, hata wao wenyewe hawajui hayo matatizo. Vijana wengi ndo tunajua matatizo yanayoikabili nchi yetu lakini njaa zinatuuma tumeamua kua mavuvuzela ili familia zetu ziendelee kula.
Kiujumla tuna wasomi wengi sana nchini, nje ya nchi, lakini wako radhi kuuza taaluma zao kwa watawala ili waendelee kuikandamiza demokrasia. Lakini siku si nyingi sasa tutalikomboa taifa letu tunalolihitaji. Angalia hata wabunge tulionao vijana, ni wangi wanatetea rasilimali za nchi? wako pale kwa sababu ya njaa tu na uroho wa madaraka, na wengi wao hawajui ni kwanini ni wabunge.
 
Back
Top Bottom