Mtoto mchanga atupwa jalalani Mbeya


HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,441
Points
1,195
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,441 1,195
Nimepita maeneo ya Airport Mbeya kuna mtoto ametupwa kwenye jalala lililopo kando ya barabara inayotoka mafiat kuingia airport. Watu wamejaa na mtoto amekutwa amekufa.

Update zitakuja after time.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,539
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,539 2,000
Hiyo ndio Mbeya bwana. Huko uhai na maisha ya mwanadamu hayana thamani kabisa
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,700
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,700 1,195
Dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,830,983
Top