Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chonde kama we ni m TZ Jiandae kua na maisha bora kama alivyosema nkrumah kwdnye malumbano ya hoja ila amechemka amesahau Walimu,unemployment vijana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Posted on December 12, 2012 06:15 pm under Business, Logistics & Transportation, Strategies & Solutions VENTURES AFRICA – New set of ultra-modern blue and silver trains will soon hit the...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu leo kuna jamaa kapita ofisini kwangu akajitambulisha kua yeye ni Dr. Pona toka India na yeye anatibu magonjwa sugu! Lakini chakunishangaza katika form yake aliyoniachia kuna gonjwa number 12...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sasa wafanyakazi wa serikali wanaweza pata mkopo maalumu kwaajiri ya kununua pikipiki za kuwarahisishia usafiri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majina ya viongozi wakubwa na watu mashuhuri duniani yanaanziwa na K au M. Angalia hawa Kambarage, Kenyata, Kabwe, Kinana, Kikwete, Kagame, Kabila, Kaunda, Kamuzu, Kigoda, Kingwangwala, Kilango...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Jumatatu ya wiki hii saa 6 machana baadhi ya maeneo ya malimbe-nyegezi umeme ulikatika, toka siku hiyo hadi muda huu haujawahikurudi, japo wahusika TANESCO wametaarifiwa sana. Jna mida ya saa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdau mmoja mkereketwa wa haki za watoto katika pitapita zake maeneo ya Friends Corner Manzese aliweza kuwaona watoto Nyambuli Mganga (5) na Gosbert Bwire (3); wale watoto walionyesha umahiri wa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana ni kuchoshwa na uonevu wa jeshi la polisi dhidi ya CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA wamempiga mawe OCD wa MUSOMA MJINI baada ya kutaka kuwakamata. Nitawaletea taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila ifikapo Jumatano, nahisi kama huwa napungukiwa kitu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba Nalimiss gazeti la mwanahalisi. Jamani hivi hili gazeti letu pendwa litafunguliwa lini??? Yaani sioni cha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dc wa Handeni akiwa kwenye kazi za ujenzi wa madarasa kaonekana amevaa kaptura na badae ameshiriki kukanda udongo. Ameonyesha mfano mzuri kwa wananchi. Je mbinu hii itawaokoa magamba 2015? Kila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Charles Robertson kila mpenda mageuzi anapaswa kukisoma. Naandika utangulizi wa kitabu hicho hapa ulioandikwa na Ngozi Okonjo Iweala: Imagine a continent torn by...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, kuonesha kuwa mitandao yakijamii haijali rika wala makazi. Papa Benedict ametweet leo, siku isiyojirudia mpaka karne ijayo. Tarehe 12-12-12, noana tu labda alichelewa mda, vinginevyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi!Ninaomba mnisaidie picha ya pamoja ya watoto wa baba wa taifa na majina yao tafadhalini sana.Mbarikiwe!
1 Reactions
21 Replies
28K Views
Habari za leo. Nimeoneshwa huu mtandao na mfanyakazi mwenzangu ambae ni mtumiaji wa muda mrefu, umemsaidia sana mambo mengi nikavutiwa.Nawapongeza waanzilishi.Long Live.Naamini nami nitaenjoy na...
0 Reactions
1 Replies
637 Views
iGotYa App Sends Pic To Stolen iPhone's Owner Sky News – 5 hours ago GotYa App Sends Pic To Stolen iPhone's Owner A woman has unwittingly taken her own picture as she...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana - JF, Tunajua kuwa kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), Tanzania itabadilisha mfumo wa urushaji wa matangazo ya TV toka analogue kwenda digital kuanzia 31st December 2012...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za mchana,Naomba msaada wa anayefahamu NO ya simu ya Shule ya Green Eca , anisaidie nahitaji ni Muhimu sana !AsanteniLisa
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Tutamaliza vizazi vyetu vya kesho kwa tamaaa za madereva wa bodabodaa wasiofuata sheria na mamlaka husika kutowajibika ipasavyo, ebu tuamke wakati ni huu !!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana jioni,nilimtembelea Jaji Gabriel Rwakibalira,aliyemvua ubunge Godbless Lema, nyumbani kwake Kimara.Ni kweli amepooza kwa kiasi fulani.Si yule. Kwa ufupi mazungumzo yetu yalikuwa hivi...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Jamani huyu babu aliyezeekea madarakani yuko wapi mbona simsikii? Hakuamini macho wala masikio uchaguzi uliopita 2015 tunamkaribisha tena Rombo kwa ugombea.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom