Wakimbizi kambi ya warundi Mtabila kuna vurugu kubwa

kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
1,001
Points
1,250

kajunju

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
1,001 1,250
Wakimbizi wa kambi ya Mtabila iliyoko wilayan Kasulu wako wanafanya vùrugu kubwa zoezi la kufunga kambi za Warundi limeanza miezi 3 iliyopita. Ilikuwa imebaki kijiji <zone A> ili kambi ifungwe rasmi kabla ya tarehe 31.12.2012. Wameita polisi toka Nyarugusu, Kasulu mjini na FFU Kigoma ili kutuliza vurugu.Baadhi ya wafanyakazi wamejeruhiwa.

Chanzo: mfanyakazi wa Irc ndiye kanipgia simu baada ya kukwepa kipigo
 
Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
2,528
Points
2,000

Borat69

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
2,528 2,000

Hawa watu ni hatari sana. Kila siku napiga na nitaendelea kupiga vita kwa hawa jamaa kuchanganywa kwenye jamii zetu Watanzania. Rudisha kwao wakalete fujo huko nyang'au wakubwa hao.
 
mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,733
Points
2,000

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,733 2,000
baadhi ya wafanyakazi wa- Kitanzania wanaofanyakazi na shirika la wakimbizi wamekuwa wakiwashawishi wakimbizi wakatae kurudi kwao ili waendeleee kula good tym huko makambini. usalama wa Taifa fuatilieni jamani warundi sio marafiki na usalama wa mali zetu hata kidogo.... watamaliza temboooooo
 
Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,838
Points
2,000

Kimbori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,838 2,000
Nchi hii itavunja rekodi ya migomo, naona sasa hata Wakimbizi wameamua kugoma. Nasubiri utetezi wao. Mungu ibariki Tanzania.
 
kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
1,001
Points
1,250

kajunju

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
1,001 1,250
Wamepgwa fimbo badae wakawa wapole.hakuna haja ya kugoma kurud home kwani amani hipo burnd. Wakti wanakimbia malalamiko ilikuwa watusi wanawanyanyasa.lakin ni miaka 10 wautu wameshka madaraka,bora waondoke. Kuhusu kushawishiwa na wafanyakaz wanaofanya kwenye mashirika. Swagaswaga hii inaongozwa na fred nisagire<camp cordinator>,huyu alikuwa bodyguard wa babu Loliondo<mzee wa kikombe>.
 
Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
1,581
Points
2,000

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
1,581 2,000
Sidhan kama ni rahisi kwa muhutu na mututsi kukaa pamoja Uadui wao sio kabisa-bila shaka hao waleta vurugu wanajua fika wakifika huko yatakayowapata-Ukiwa mbali na jamii hizo sio rahisi jua hisia zao-kama nyote mngepata kuwa wahutu Rwanda au Burundi msingekuwa tofauti na waleta vurugu hawa.
 
Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
4,586
Points
1,195

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
4,586 1,195
Hawa watu ni hatari sana.
Kila siku napiga na nitaendelea kupiga vita kwa hawa jamaa kuchanganywa
kwenye jamii zetu Watanzania. Rudisha kwao wakalete fujo huko nyang'au
wakubwa hao.
Kweli kabisa mkuu,hawa wakimbizi kitu kinachoitwa "utu" kwao ni msamiati! hawana uungwana hata kidogo! waende kwao majambazi wakubwa hao!
 
Kailanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2012
Messages
146
Points
0

Kailanga

Senior Member
Joined Jun 24, 2012
146 0
Sidhan kama ni rahisi kwa muhutu na mututsi kukaa pamoja Uadui wao sio kabisa-bila shaka hao waleta vurugu wanajua fika wakifika huko yatakayowapata-Ukiwa mbali na jamii hizo sio rahisi jua hisia zao-kama nyote mngepata kuwa wahutu Rwanda au Burundi msingekuwa tofauti na waleta vurugu hawa.
acha unafki wako, kama we ni mhutu umetumwa kutetea ndugu zako ni bora ukawa wazi, usituletee story zenu za vijiwe vya kahawa!
 
kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
1,001
Points
1,250

kajunju

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
1,001 1,250
Warundi ni wakimya zaid ya wanyarwanda hasa kwenye matendo machafu ie utekaji magari,wizi,kubaka etc. Tatizo la hawa wanaogoma kurudi either awaijui burund kabisa<mf amezaliwa apa tz na wazaz wake wote wameshakufa>,pili kuna wale wakati wanatoka burund walitoka kwa kufanya uharifu-hawa piga ua awataki kurud. Tatu,kuna wale walivyokuja tz wamewafanyia mambo mabaya warund wenzao.aliyefanyiwa ubaya ameshatangulia nchin<x combatant ambao ndio wako madarakan sasa>,huyu katu hawez kurud.
 
ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Messages
1,369
Points
1,250

ngonani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2012
1,369 1,250
Just go back to your effin country..we (Tanzanians) don't need that BS here. Mkapigane marungu huko kwenu.
Unamuudhi baba wa Taifa kule aliko,amewahi kusema na nina nukuu,binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja,why hate your felllow African to that extent.Milipopolewa mawe Africa ya Kusini na waafrica wenzenu mlilalamika sana,sasa what are you portraying,ni kweli muda wa Warundi kurudi kwao umefika kwani kuna amani na hakuna justification ya wao kuendelea kuwa wakimbizi.kwani uwezi kuwa mkimbizi maisha yako yote lazima iko siku ukimbizi utaisha.Kuwa mkimbizi si kosa ,ni hali ambayo mtu hujikuta akiwa nayo kutokana na vita ambayo usababishwa na wanasiasa.Wengi wanaokimbia ni victim amabo hata ukiwauliza chanzo cha vita nchini kwao hawajui,wanaosababisha ni watu wenye uchu wa madaraka.Ukimbizi sio kosa hata biblia ianasema Yesu aliwahi kuwa mkimbizi,hata holy quran nayo inasema Mtume Muhamad[SAW] aliwahi kuwa mkimbizi maishani mwake,hata wewe hujui kesho itakuwaje kwako.Historia inasema chuki dhidi ya wakimbizi[xenophobia]haijaanzia kwako,hata mauaji ya Adolph Hitler kwa wayahudi yalisababishwa na mawazo kama yako,please soma kitabu cha hitler alichoandika akiwa gerezani kabla hajawa mtawala wa ujerumani[MEIN CAMPF]kwa kiswahili title ya kitabu inamaanisha mawazo yangu.Hitler alikuwa na maono kuwa matatizo yote ya Ujerumani,uchumi mbaya,uhalifu na mabaya yote yanasababishwa na wakimbizi ambao ni Mayahudi,same as Idd Amini na wahindi etc Historia ina mifano mingi ya watu wenye chuki dhidi ya wageni,hivyo sio wewe tu na wala usijilaumu kwa kuwa na mawazo kama hayo kwani wewe sio wa kwanza kuwa na chuki hizo.But ukweli ni kwamba hao ni jamii kama jamii nyingine yenye watu wabaya na wazuri.Kwani wanaofanya ujambazi Dar/Mwanza au Arusha kila siku ni warundi?walivamia quality plaza leo hii ni warundi,walomvua nguo marehemu Sharobaro ni Warundi?.Nadhani jibu unalo
 
Kwa hili Jambo la hawa jamaa acha nimuudhi mpaka Mama wa Taifa.
Wewe rudi kwenu pia hatuhitaji upumbafu wenu hapa.
Umeshawahi kuona wapi unanipa hifadhi Mgeni nyumbani Kwako ...baada ya muda anaanza kupiga MKE wako na watoto ndani ya nyumba,halafu eti umvumilie kiss ni mgeni wako!?
Nitolee ubazazi wako hapa. Baba wa Taifa unamjua wewe? Mnafanya madudu nchini kwa watu mkiambiwa mnakimbilia baba wa Taifa.
Kwendeni makwenu tumewachoka MAJAMBAZI wakubwa nyinyi.
 
Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
9,272
Points
2,000

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
9,272 2,000
Warundi ni wakimya zaid ya wanyarwanda hasa kwenye matendo machafu ie utekaji magari,wizi,kubaka etc. Tatizo la hawa wanaogoma kurudi either awaijui burund kabisa<mf amezaliwa apa tz na wazaz wake wote wameshakufa>,pili kuna wale wakati wanatoka burund walitoka kwa kufanya uharifu-hawa piga ua awataki kurud. Tatu,kuna wale walivyokuja tz wamewafanyia mambo mabaya warund wenzao.aliyefanyiwa ubaya ameshatangulia nchin<x combatant ambao ndio wako madarakan sasa>,huyu katu hawez kurud.
Mkuu warudi kwao tu!!

Wataenda kujijua huko huko! Ila uzuri ni kwamba kuna zoezi lilifanyika kwa muda kule kambini walikuwa wanaita Indepth interview. Lengo la zoezi hilo lilikuwa kuwatambua wale wote wenye protection cases (yaani wenye kuhitaji ulinzi zaidi) ama kutokana na hayo uliyoyasema hapo juu au vinginevyo. Hivyo hawa tayari walishatambuliwa na kuhamishiwa kambi ya Nyarugusu kuungana na Wakongo ambao bado wapo. Kwa maana hiyo hawa waliobaki hapo Mtabila ni wale wanaotamani sana kubaki TZ. Wengine wanazuga kwa kufikiri kwamba huenda UNHCR imefanya ujanja wa kuwarudisha wengine ili wabaki wachache waweze kupelekwa kwenye nchi ya tatu (yaani zile nchi zinzopokea wakimbizi na kuwapa uraia) kama vile USA, Canada, UK, Sweden, Denmark, Senegal n.k.

Hawa jamaa waswagwe tu hatuwataki tena. Matukio mengi ya ujambazi kule Kigoma ni hawa jamaa ndo wanashiriki kwa kuwapa michongo wenzao ambao wako Burundi wanakuja na silaha za kivita. Tumb...ff kabisa!!
 
kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
1,001
Points
1,250

kajunju

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
1,001 1,250
Uliyoeleza job k ni kweli. Kwangu mimi nafikiri ukikaa sehemu kwa muda mrefu unapaona kama ndo nyumbani.hawa jamaa wamekaa mtabila toka 1994,hawa tayari walikuwa na urafiki na vijiji vya jiran wanaenda kulima. Kama ujuavyo tatizo kubwa ni ardhi burund. Hivyo wengi wanaona tatizo kwao watafikia wapi? Kwangu mimi tungewa-intergrate na watz au tukawapeleka kwenye mapori makubwa wakakaa huko ie mishamo/katumba mwl nyerere alivyowaweka. Kumbuka mapori haya eti tunaka tuwape wazungu-agrisol. Toka uvinza mpaka mpanda 200km tungewapa hawa jamaa. Ninachojua wanaenda kwa mgongo wa repatriation lakin ndan ya muda mfupi watarud kuzagaa vijijini ili walime
 
kajunju

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
1,001
Points
1,250

kajunju

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
1,001 1,250
Atimae wakimbizi wa mtabila leo wameisha. Convoy ya mwisho imepelekwa leo. Kambi ya mtabila ilifunguliwa rasmi 1994,wakimbiz wa mwanzo ni wale waliokimbia machafuko ya kuuawa kwa ndadaye.wimbi kubwa liliongezeka 1996 na badae kambi ingine ilifunguliwa ikiitwa muyovozi. Ni kambi ambazo zimedumu kwa zaid ya miaka 15. Nawatakia maisha mapya huko muendako nyumbani. Maisha ya ukimbizi yana uzuri wake na ubaya wake. Lakini kumbuka 'NYUMBANI NI NYUMBANI'.
 
Forum statistics

Threads 1,392,812
Members 528,696
Posts 34,118,688
Top