How safe is M-pesa bank depositing

How safe is M-pesa bank depositing

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,389
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..kwa nchi hii ambayo maadili yamemomonyoka na uhalifu wa kimt andao unavyokuwa bila hatua sambaba za kuukabili itakuwa na usalama kweli kwa mteja? Na ukizingatia sms sio kitu kinachotunzika sana chukulia mtu anaetumia kitochi ataweza kuhifadhi msg ngapi kama proof?
ni njia nzuri na rahisi lakini........
 
mawazo yao ni kwamba wanaotumia hii huduma wengi wao hawana simu zenye uwezo mdogo wa kuhifadhi kumbukumbu..
 
mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki
 
Kama ni hivyo basi ni hatari na itakuwa janga kuliko DECI na ubaya wake DECI hii waliopanda MBEGU ni wakulima wadogowadogo wenye kipato duni...
 
mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki

umenishtua mkuu. Watu tunatumia sana hii hudumu..bora tutumie zaidi kusafirisha kuliko kutunzia pesa.
 
hii huduma tumieni kwa kutuma na kupokea pesa pale inapoitajika siwashauri kutumia kuifadhia pesa kama bank kwani si salama na once pesa znapoibiwa hamna msaada wowote wanaotoa
 
hawa jamaa wezi wa kutupa,
hiv juz kati nimenunua umeme (luku) sikupata umee pesa wakakata, nimewalalamika wananipa no niwapigie tanesco,
Tanesco wananiamboia wao hawahusiki, so nikomae na voda mpaka wanirudishie pesa yangu, mpaka leo hakuna cha umeme wala pesa kurudishwa.
 
Ni kweli huduma hii isitumike kuhifadhi fedha kwani hakuna sheria ya ku regulate, tofauti na benki sasa hivi ikifilisika kunasheria ilitungwa baada ya kufilisika meridian biao kuwalinda wateja iwapo benki husika itafilisika.
 
Tatizo la ufahamu mdogo, na kutopenda kua watafiti,
Tekinolojia ya EMT, Electronic Money Transfer sio ya juzi au jana, Unaposema BoT hawahusiki unajua kwamba sheria ya vyombo vyote vinavyohusika na fedha viko chini ya uangalizi wa nani? Je unajua kiwango cha mwisho cha uwekaji na utoaji fedha kwenye Virtua accounts kama M-Pesa? Kuweni watafiti wa mambo na sio kubakia kua wahanga wa hadithi za DECI, Watu wakija kuwekeza tunalia tunaibiwa.
 
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..kwa nchi hii ambayo maadili yamemomonyoka na uhalifu wa kimt andao unavyokuwa bila hatua sambaba za kuukabili itakuwa na usalama kweli kwa mteja? Na ukizingatia sms sio kitu kinachotunzika sana chukulia mtu anaetumia kitochi ataweza kuhifadhi msg ngapi kama proof?
ni njia nzuri na rahisi lakini........

Mkuu,
Ukiacha ile message ya kwenye simu, kuna database kubwa sana ambayo inatunza mihamala yako yote uliyofanya toka umeanza kutumia M-PESA. Hii product ilipoanza niliamua kuifanyia utafiti na mojawapo ya maeneo niliyoangalia ni utunzaji kumbukumbu wa mihamala maana hakuna physical documents kama proof of deposit, withdrawal of funds, payment of a bill e.t.c. ambayo mteja anabaki nayo ukiacha ile message ya kwenye simu. Na kwa msaada wa mdau wangu ambaye yuko kwenye telecom industry, nimeweza kujua kuwa M-PESA inatunza kumbukumbu za mihamala yote (iliyo-complete, iliyo-decline, iliyo-expire, iliyo-cancel, iliyo-pending) in form of account statement toka uhai wa akaunti wa mteja unapoanza. Na mteja ukiwa na wasiwasi na mihamala yako unaweza kupata hii statement toka ofisi za Vodacom zilizoidhinishwa.
 
mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki

Mkuu, siku hizi umekuwa mpiga ramli? Tafiti utajua tu. Wewe ni GT, so act like one. Maneno yako yanaleta taharuki isiyokuwa na sababu kwa wasiojua ilhali na wewe mwenyewe pia hujui inavyofanya kazi. Tafiti utabhaini mkuu.
 
umenishtua mkuu. Watu tunatumia sana hii hudumu..bora tutumie zaidi kusafirisha kuliko kutunzia pesa.

Usiwe na wasiwasi mkuu. Kwenye mchango wangu uliopita nimesema kuna utafiti nilishwahi kuufanya kuhusu hii product. Unaweza kuniuliza maswali kadhaa nikakujibu kwa kadiri nitakavyoweza. Kifupi ni kwamba huduma za pesa zimewasaidia watu wengi sana kiuchumi na kijamii.
 
mnaopinga sio UPATU hembu niambie nina 1m ktk akaunti yangu,voda imekufa nani atanilipa?
 
Usiwe na wasiwasi mkuu. Kwenye mchango wangu uliopita nimesema kuna utafiti nilishwahi kuufanya kuhusu hii product. Unaweza kuniuliza maswali kadhaa nikakujibu kwa kadiri nitakavyoweza. Kifupi ni kwamba huduma za pesa zimewasaidia watu wengi sana kiuchumi na kijamii.
Ndugu yangu fuatilia swali lilivyoulizwa
How safe is M-pesa bank depositing

Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..

Jibu rahisi ni si salama kudeposit mamilioni katika simu, iwe Vodacom, Airtel, tiGo, Zantel kwanini mtu usiende kufungua a/c yako Benk?
Hivi vikampunu vya simu vina shughuli nyingi sana, mara music wa kulipia 'Caller tune' bahati nasibu, nk halafu wewe ukaweke fedha huko
Nakupa mfano mmoja ingia mtandao wa Airtel kwa sasa kuna Bahati nasibu na unakatwa 350/ kwa kujibu swali lolote, nilijaribu kujiunga ni bure nikaletewa swali Shaban Robert ni
​
1 Mtunzi wa mashairi
2 mwimbaji wa Taarabu

​
sikulijibu swali hilo ingawa yalikuja maswali mengine, km Shaban Robert ametokea 1. Tanga, 2.Mwanza
Baada ya nusu saa kupita Mm nikajibu ile msg lya ile swali Shaban Robert ni ? ambalo jibu lilikuwa ni ( Namba 1) mtunzi wa Mshairi
jibu likaja HAPANA UMEKOSEA kwa hiyo ina maana Shaban Robert ni mwimba Taarabu

Hapo nikaliwa 350 nikajaribu tena swali lingine hadi nikagundua swali la jana usilijibu leo

​
Sasa Inkoskaz usithubutu kuweka fedha kiasi cha kuzidi Milioni moja utalia hapo ni pa kusafirishia fedha tu maana hakuna cha Mwanasheria, au maandishi uliyowekeana nao Mikataba tafadhali nenda Benk ndiko salama
Hivi ni Mara ngapi tunasikia wajanja wamekwapua Mamilioni ya mtandao wa M-Pesa? jibu utaambiwa mara Saver ipo India, mara ofisi za Tanzania zitafungwa Makao makuu yatakuwa nje ya Nchi sasa umepoteza 5m nani atakulipa? watu wamepoteza hela za kununulia magari Japan kwa ajili ya E-Money sembuse hivi vi...

Duh GT mpiga ramli. Acha kupotosha watu hapa Jukwaani mkuu. Kuna uhusiano gani kati ya huduma ya m-pesa to bank deposit na caller tunes au bahati nasibu? Mimi nimetoa maelezo kulingana na swali la Inkoskaz, sasa kama wewe unadhani maelezo yangu sio sahihi basi onesha wapi nimedanganya.

Na kama umesikia watu wamekwapua mamilioni m-pesa je aliyeibiwa ni nani? Mteja? au kampuni? Na huko bank unakopigia debe hakuna wizi wa mamilioni? Chambua vitu bila ramli na generalization mkuu.

Pole kwa kuingia kwenye bahati nasibu kichwa kichwa na kuliwa hela yako. Njoo hapa na maswali ya Mobile Money Transfer nitakujibu ilo la wewe kutapeliwa caller tunes au bahati nasibu lifungulie uzi wake utasaidiwa.
 
Ndugu yangu fuatilia swali lilivyoulizwa
How safe is M-pesa bank depositing
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..

Jibu rahisi ni si salama kudeposit mamilioni katika simu, iwe Vodacom, Airtel, tiGo, Zantel kwanini mtu usiende kufungua a/c yako Benk?
Hivi vikampunu vya simu vina shughuli nyingi sana, mara music wa kulipia 'Caller tune' bahati nasibu, nk halafu wewe ukaweke fedha huko
Nakupa mfano mmoja ingia mtandao wa Airtel kwa sasa kuna Bahati nasibu na unakatwa 350/ kwa kujibu swali lolote, nilijaribu kujiunga ni bure nikaletewa swali Shaban Robert ni
​
1 Mtunzi wa mashairi
2 mwimbaji wa Taarabu

​
sikulijibu swali hilo ingawa yalikuja maswali mengine, km Shaban Robert ametokea 1. Tanga, 2.Mwanza
Baada ya nusu saa kupita Mm nikajibu ile msg lya ile swali Shaban Robert ni ? ambalo jibu lilikuwa ni ( Namba 1) mtunzi wa Mshairi
jibu likaja HAPANA UMEKOSEA kwa hiyo ina maana Shaban Robert ni mwimba Taarabu

Hapo nikaliwa 350 nikajaribu tena swali lingine hadi nikagundua swali la jana usilijibu leo

​
Sasa Inkoskaz usithubutu kuweka fedha kiasi cha kuzidi Milioni moja utalia hapo ni pa kusafirishia fedha tu maana hakuna cha Mwanasheria, au maandishi uliyowekeana nao Mikataba tafadhali nenda Benk ndiko salama
Hivi ni Mara ngapi tunasikia wajanja wamekwapua Mamilioni ya mtandao wa M-Pesa? jibu utaambiwa mara Saver ipo India, mara ofisi za Tanzania zitafungwa Makao makuu yatakuwa nje ya Nchi sasa umepoteza 5m nani atakulipa? watu wamepoteza hela za kununulia magari Japan kwa ajili ya E-Money sembuse hivi vi...
​

Umesomeka Ukwaju...
Swali hapo si kuhifadhi pesa M-pesa bali ni kuitumia M-pesa kama tarishi(messenger) wa kudeposit pesa yako kwenye akaunti yako benki na kupata vithibitisho vitakavyokufaa huko siku za usoni kama vikihitajika
Pia system hii huwa mara nyingi inacollapse,mfano unaweka pesa inakukata kuwa imedeposit but haikupi recept kwa kuwa muamala haujakamilika...na mengine kama hayo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom