Habarini Wakuu.Zilizopo toka Redio Mbao,kuanzia mwezi hujao Mishahara yote ya Watumishi wa Umma itakuwa inatoka Hazina moja kwa moja.Hakuna cha kupeleka halmashaurini.Itakuwa pouwa.Kama cc huku...
Ndugu yangu TUNTEMEKE,
Sijaangalia historia huko nyuma kuangalia kama kuna mtu aliwahi kuanzisha mjadala unaokuhusu, lakini napenda kuchukua fursa hii kuanzisha mada mahsusi dhidi yako.
Tangu...
Ndugu wana JF
Imenitokea mimi mwenyewe na sasa naombeni niwape tahadhari kuwa kuna tapeli mwenye namba 0714-530869 ambaye anajifanya ni mmoja wa wahariri wakuu wa Gazeti moja na amekuwa akipigia...
Wapendwa,Chrismass ndo hiyo Jumanne hii.Mojawapo kati ya cku huwa czipendi ni J4.Kama ingeangukia Ijumaa ningefurahi zaidi.J4 maanake itakuwa mbaya,kama mpaka saizi acc.zimenuna!afu baada ya j5 ni...
KANNUR: The Kasaragod district sessions court on thursday sentenced a madrassa teacher to 22 years in prison for raping and sodomizing a 10-year-old girl in 2008. Judge K Bhaskaran also imposed a...
Mikoa ya kusini sasa ipo kwenye vita kali kupigania rasilimali yao ya gas isihamishwe kuja Dar es salaam kama raw material badala yake all processing na viwanda vinavyotumia gas kwa kiwango...
Kwa wale wanaopenda kuangalia TV online kuna hii link.
Watch Streaming Movies and live TV in HD. Watch Football and Compare us to Hulu, Zattoo and TVCatchup.
Wanaotumia windows 8 kuna app yake,
Yama vya siasa tanzania hasa vya upinzan vinapenda kulaumu kwa kutokuweko demokrasia ktk nchi yetu lkn vyenyewe vyaongoza kwa ukosefu wa demokrasia ndan ya vyama vyao angalia mifano hii zito...
Hii ndiyo serikari kuwezesha raia kujiunga na maendeleo
TV set-top boxes buyers to benefit from subsidies Workers wait for customers at a TV shop in Nairobi. Treasury is likely to...
ndg zangu wana jf, kwanza napenda nimshukuru mwenyezi mungu baba, alieziumba mbingu na nchi, na vyote vilivyomo, kwanza kwa kunipa uhai mpaka hivi navyoandika walaka huu, hakika mungu ni mwema...
Wanamgambo wa taliban wamewaua wanajesh kumi wa marekan katika mkoa wa Nangarhar huko afghanstan,wanajesh hao walikuwa kwenye msafara ndipo walipovamiwa na kuanza kutupiana risasi kwa takriban saa...
Huyu jamaa ni bigwa wa kutumia kiswahili vizuri
Anaposema
Mjomba ww wapake wanja harafu wao wakupake pilipili na kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga ccm mnayaelewa haya maneno???
Au mtu mzima...
""HAIJAWAHI KUTOKEA!SERIKALI IMEAMUA KUTUMIA MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA KUFANYA SELECTION.
JE, HUKO NI KUTATUA TATIZO AU KUENDELEZA UDHAIFU??JE,UNAWEZA KUTATUA TATIZO KWA KUFICHA...
Business returned to normal at Double Tree and Giraffe Ocean View hotels, the two tourist hotels that early this week were ordered to suspend activities until the government was satisfied they...
HALI ya afya ya Sheikh Ponda Issa Ponda, imegubikwa na utata kufuatia taarifa za Serikali kudai kuwa ni mgonjwa huku baadhi ya jamaa zake wakidai kuwa ni mzima na hawana taarifa za kuugua kwake...
Serikali imewataka wananchi kuwa makini kutokana na uwepo wa condom fake za kiume zilizoingizwa KINYEMELA NCHINI TANZANIA tokea INDIA, condom hizo zinaitwa MELTME
SOSI: EATV
Habarini wadau na heshima kwenu sana! Ninasoma chuo, Tumaini-Iringa,nahitaji sana kupata kijikazi chochote ili walau niweze kuingiza kipato,hata kama ni mia tano kwa wiki. Nashindwa sema kazi kwa...
wabongo wameingiwa na roho ya ukatili sana!. wanatumia formalin (kemikali ambayo hutumika kuhifadhia maiti zisioze) ili kuhifadhi samaki zisioze!. kemikali hii ni hatari sana hata kwenye label...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.